Wengi wanaokoment ni watu wenye vi gelofrend ambavyo wanakutana navyo mara moja kwa miezi miwili ndio wanasema "badilisha location", "nenda nje ya mji", " nenda hotelini", ""tafuta style mpya" n.k.
Hawajui mwaka una siku 365 na hata uwe creative kiasi gani ndani ya mwaka mmoja tu wa ndoa umeshamaliza style zote, umesharudia kila mbinu unayoijua zaidi ya mara 10, umeshamaliza location zote nk. Na hapo bado hamjapata watoto ndio wavuruge kila kitu.
Hili swala dawa ni mchepuko tuu hakuna ujanja... au wake wengi kwa dini zinazoruhusu. Mengine ni porojo tu.