Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

Nimepoteza hisia za kimapenzi kwa mke wangu

Hizo zote ni hali za kawaida tu hasa kama kila siku mnaamka dali moja. Nina hakika ukitoka safari ya angalau week moja mambo huwa tofauti. Endelea kumpenda mke wako maana ukimuacha siku ukifikisha miaka 35 utaenda kuvunja ndoa yake au yeye atavunja ndoa yako mpya. Siku ukimuacha atakuwa mtamu kuliko wanawake wote uliowahi kuwa nao.
 
Wakuu habari za mida hii.

Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Pole sana mkuu,
Hilo unalopitia, watu wengi sana kwenye ndoa wanapitia. Wewe hauna upungufu wa nguvu za kiume wowote, ispokuwa hofu na wasi wasi ndio vinavyokusumbua. Na ukithubutu sasa kutaka ushauri kwa hawa watu wa dawa lishe au waganga, utapigwa hela mpaka uhisi kufilisika. Na ubaya wa tatizo hilo ni kwamba, linaharibu kisaikolojia kiasi kwamba utaanza kuogopa kukutana hata na hiyo michepuko ukihisi labda dushelele itagoma kuwaka kama inavyogomaga kwa wife.

Na kama ikiwaka utataka kuwahi vamia mtu hata kabla hajajiandaa vya kutosha ili gari isizime kwenye gia kwa sababu huna imani tena na usimamaji wa dushelele yako. Itakutengenezea hali ya kutojiamini kiasi kwamba ukiwa na mchepuko, wakati mnapiga stori, wewe utakuwa unaitikia stori zake lakini mkono upo ndani ya boxa ukiwa unakazana kulitest dude kama linawakaa au bado limelala ndani ya boxa. Akili yako haitakuwa kwenye stori. Sasa kinachokuja kukufelisha ni wasi wasi. Kitendo cha kuamka asubuhi na kukuta dushelele imesimama , amini kwamba wewe ni mzima kabisa. Wewe ni rijali wa kufa mtu.

,.........Ushauri.........
Tengeneza upendo kwa mke. Ongeza upendo. Jitahidi kumwambia akusikilize sana kuwa ni nini unataka akufanyie ili na yeye asikupanikishe like, kwa nini dushelele lako linachelewa hivyo kuwaka! Haya maneno asiwe anayatamka kwako. Fanya maombi pia sababu Dunia ya sasa imeharibika sana. Mazingara pia yanawezekana. Ila Bro wasi wasi ndio tatizo kubwa sana sana. Pigana sana kuondoa hofu. Hofu ikikuvaa tu, dushelele itarud kuwa kama ya mtoto. Na kwa kadiri unavyokazana kuiamsha ndio unapoteza hisia kabisa.

Mwisho wa siku utajigeuza upande wa pili na kulala na maswali ya ajabu usiyokuwa na majibu nayo. Jiamini na zidi sana kula vitu vya asili. Meza punje kama mbili tu za vitunguu swaumu kila siku usiku kabla ya kulala. Cheza na asali za nyuki wadogo. Karanga mbichi tafuna sana. Ndizi mbivu broo usiache siku upite bila kula. Matikiti maji ni viagra ile. Mazoezi na maji ya kutosha. Utashangaa mkono ukigusa tu kwa bahati mbaya dushelele inaamka kwa speed ya Rocket. Utanishukuru baadae.
 
Badili mazingira tokeni nenden hotelin au lodge kali, sio lazma msex kitandan jaribu kufanya vitu vya kitofauti mfano akiwa anaoga nenda huko huko akiwa anavaa mfuate hapo hapo kwenye kochi hapo hapo

Sio lazma umvue nguo zote mfano sogeza pichu ingiza mashine inaleta hamasa sana kulinganisha na akiwa uchi

Nenda maduka ya nguo za ndani za kina dada mnunulie zile stocking za nyavu nyavu kama za wale waigiza porn , mnunulie night dress nzurii, mnunulie chupi nzur ambazo atavaa wakati wa kupiga mechi

Tafuten playlistbya nyimbo nzuri zinaxoongeza mshawasha wakati wa kuandaana hadi wati wa tendo

Hehehe hayo machache yanatosha
 
Mkuu pole sana kama ulivosema tatizo lako limesababishwa na vitu vifuatazo
1. Kutokua na maelewano na mkeo kugombanagombana nako linaweza kuwa ndo chanzo
2.Wewe pia utakua unapenda sana kununua masada poa yaani wadada wanaojiuza
3. Umezidisha kiwango cha kutoka nje ya ndoa yako

Suluhisho
Jaribu kumrudia mungu
 
Ulipokesa zaidi ni kuanza ufuska nje!

Hisia zinarudishwa kwa mahaba kaka, jiulize ulimpendea nini? Tokeni nendeni ht viwanja vipya siku moja baasi!unakosea sana kuchepuka naona kabisa ukihamia huko huko!

Halafu kwani bao5 sifa au mnapataga award. Mapenzi starehe mweeh!haya mambo haya
Mda mwengine kukaa kwenye mazingira yale yale yana affect maisha ya ndoa, kutoka kwenda hotelini mna relax pamoja, na yeye anakua hana madera ame relax utashanga hisia zitakavyorudi kwa speed
 
Mkuu pole sana kama ulivosema tatizo lako limesababishwa na vitu vifuatazo
1. Kutokua na maelewano na mkeo kugombanagombana nako linaweza kuwa ndo chanzo
2.Wewe pia utakua unapenda sana kununua masada poa yaani wadada wanaojiuza
3. Umezidisha kiwango cha kutoka nje ya ndoa yako

Suluhisho
Jaribu kumrudia mungu
Kununua dada powa sijawai kwanza wale kwangu naona kam kinyaa labda nimle pasipokujua na pasipokujua kama anafanya hivyo kwenye kutoka ni. kweli
 
Wakuu habari za mida hii.

Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Wewe itakuwa ni mchepukaji maarufu umekutana na vichenchede vya mjini vimekushusha network ili vikushughulikie vizuri, kuwa makini bro town hapa.
 
Michepuko huokoa saana ndoa za watu

-Mwisho wa kunukuu-
 
Wakuu habari za mida hii.

Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.

Wakuu tatzo lililonisibu nimepoteza hisia za kimapenzi na Mke wangu kabisa, yaani sijawai kumfuma kwamba pengine ndio sababu ya Mimi kupoteza hisia nae ila nadhan chanzo ni tumigogoro tudogo tudogo ambao hata katika familia zingine suala la kupishana kidogo lipo, ila sasa kwangu limezua tatizo,

Mwanzoni sikujua kama nimepoteza hisia kwake ila nilihisi pengine nimepungukiwa nguvu za kushiriki tendo ila la hasha! Baada ya uchunguzi nimegundua tatizo la kupungukiwa uwezo hujitokeza nikiwa na mke wangu tu, Yaani nikijitahidi naweza kupiga push up 2 nikamaliza na hapo hisia hazirud tena na nikimaliza nakumbwa na usingizi sio wa nchi hii yaani ntakuja kustuka asubuhi,

Kwa kweli kiutu huwa namuonea huruma ninavyomuona akiangaika ila unakuta mim kadri anavyohangaika ili nirudie tendo hapo ndo hisia zinakata kabisa yaani hata kama kulikuwa na dalili za kuendelea ila akianza juhudi za kuliamsha dude ndo linalala kabisa mazima,

Nilipata utambuzi kuwa tatizo hili lipo ninapokutana na wife tu ni baada ya juzi katika harakati nikakumbana na concubine flani ivi mwanzo nilikuwa nahofia yasijekunikuta yaleyale ila baada ya kuona mazoea yamezid nikaona isiwe kesi nisije kuonekana namna gani vipi ikabidi nivunje amri ya sita.

Aisee kusema kweli niliniogopa yaani nilipiga kama bao 5 hivi na bado chuma ngenge yaani hadi yule dem alikuw anauliza Mimi ni binadam wa aina gani, na kweli ninavyokumbuka hata wife kilichochangia nimuoe ilikuwa ni show za kibabe zilimdatisha ukiachana pia na harakati za MTU mweusi za hapa na pale,

Baada ya lile tukio nikajaribu tena kwingine napo show ikawa vilevile showkali yaani nimejikuta sasa nimekuwa fuska kwa maana huko nje heshima IPO ila nikirud ndani show mbovu yaani kuna mda hadi nataman nimpe wife simu akaulizie wenzie ila naogopa yy kila Siku ananiambia twende hospital nikatibiwe au kwa mganga ila nikijitafakari najijua tatizo lipo kwake tu, nashindwa kabisa cha kufanya.

Najua hum Jf kuna wajuzi wa mambo naombeni msaada namna ya kujinasua na hili tatzo au kama kuna MTU anaejua chanzo cha hili tatzo anisaidie. Naumia sana pia naona namtesa mtoto wawatu!

Kuna mda inanijia roho ya kutaka niachane nae ili niowe mwanamke mwingine nisimtese ila moyo unakataa wife ni mwanamke mtulivu, mpole, na hana makuu pia ananitunzia siri na madhaifu kama haya yaliyonikuta japokuw yy anaamini nimepungukiwa nguvu za kiume na huwa ananitia moyo sana akisema kuna siku nitatibiwa nitapona.
MUNGU hapendi uzinzi na hayo unayoyafanya.Tafadhali tubu ,mrejee Yeye na uache maisha ya dhambi .Baki na mkeo tu....usipoacha unakoelekea kibaya sana ni kupata magonjwa yasiyotibika lakini pia hata baraka za Mungu unazikosa kwa kutenda dhambi
 
Back
Top Bottom