incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
-
- #21
Matured comment ahsantHili tatizo watu wanaweza kufanya dhihaka lakini lipo, uhsuari mdogo tu labda unaweza kusaidia lakini unaweza kwenda kwa wataalamu unaweza kusaidiwa/ Lakini kwa haraka jaribu kubadilisha routine kidogo halafu hata Perfume anayotumia anaweza kubadilisha kuna vitu vidogo anaweza kufanya mkaondoka kwenye routine maana hata huyo wa nje ukienda kwa huyo huyo kila siku tatizo litarudi palepale.
AhsanteBadili mazingira japo mara moja moja ukiwa na mkeo utaona mafanikio
Ni sawa mkuu...Miaka 5 eeeh!!!!!
Subiri mkeo ampate wa kumkunja vizuri...si umesema show za kibabe zilimdatisha?
Akidatishwa huko nje, akasombwa ndio utaelewa.
Kwanza msamehe mkeo na wew jisamehe kabisa kutoka moyoni.Wakuu habari za mida hii.
Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Wakuu tatzo lililonisibu nimepoteza hisia za kimapenzi na Mke wangu kabisa, yaani sijawai kumfuma kwamba pengine ndio sababu ya Mimi kupoteza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uck na asbh hata weekend wanaogopa kuchombezanJitahidi kubadilisha mazingira, tafta siku toka nae ukapige show lodge, kuwe na utulivu tofauti na hapo home... Mfanye kama mchepuko Yani.. badilisha nyakati za kusex pia itaongeza mvuto, hivi ni nani aliyewaambia mkiwa ktk ndoa ni lazma muwe mnashiriki tendo usiku tu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanawake weng wanajituma kwa viuno hao gogo nahic nistory tuHili suala wanaume wote kwenye mahusiano linatutokea... kam kuna anacgohitaji kizur mnunulie pia mwambie asikae km gogo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmejaribu kunyanduana porini, juu ya dari, kwenye mabanda ya kuku?
ChukuaPole sana, weka number members wampe muongozo...
Kawaida sana mkuu hiyo...yani ww tunafanana kila kitu na mm...kuanzia umri wangu hadi umri wa ndoa...mm iliwahi kunitokea hiyo hali nikaogopa sana...wakati before nilikuwa noma sana kwa wife....Ila hiyo hali ilikuja kupotea bila hata ya kujielewa...sasahivi nimerudi kuwa fresh tuu kama zamani....nadhani ni hali ya mwili tuu.Wakuu habari za mida hii.
Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Siku nyingine mvalishe uniform za shule moja ya secondary.Ni sawa mkuu...
Wengi wanaokoment ni watu wenye vi gelofrend ambavyo wanakutana navyo mara moja kwa miezi miwili ndio wanasema "badilisha location", "nenda nje ya mji", " nenda hotelini", ""tafuta style mpya" n.k.Wanaokoments naona wengi (sio wote) hawajawahi kuishi na jinsia ya pili chini ya dari moja kwa angalau miaka2 mfululizo yaani mnalala na kuamka daily
Be careful ndugu.....watch your steps....angalia hiy 'Lust' (tamaa/hisia kali za kimapenzi za muda mfupi) zisikuvunjie familia.Kuna mda inanijia roho ya kutaka niachane nae ili niowe mwanamke mwingine nisimtese ila moyo unakataa wife ni mwanamke mtulivu, mpole, na hana makuu pia ananitunzia siri na madhaifu kama haya yaliyonikuta japokuw yy anaamini nimepungukiwa nguvu za kiume na huwa ananitia moyo sana akisema kuna siku nitatibiwa nitapona.
Nimewaangalia na wengine hata wapenzi wa miezi 6 conservative under one roof hawajawahi ni watu wa kuibana tu.Wengi wanaokoment ni watu wenye vi gelofrend ambavyo wanakutana navyo mara moja kwa miezi miwili ndio wanasema "badilisha location", "nenda nje ya mji", " nenda hotelini", ""tafuta style mpya" n.k.
Hawajui mwaka una siku 365 na hata uwe creative kiasi gani ndani ya mwaka mmoja tu wa ndoa umeshamaliza style zote, umesharudia kila mbinu unayoijua zaidi ya mara 10, umeshamaliza location zote nk. Na hapo bado hamjapata watoto ndio wavuruge kila kitu.
Hili swala dawa ni mchepuko tuu hakuna ujanja... au wake wengi kwa dini zinazoruhusu. Mengine ni porojo tu.
Kuna kipindi mnaishi kwa ajili ya watoto tu ukikua utaelewaBe careful ndugu.....watch your steps....angalia hiy 'Lust' (tamaa/hisia kali za kimapenzi za muda mfupi) zisikuvunjie familia.
Usifanye uamuzi wa kukurupuka, ukaja kukutesa baadae.
Ipende familia yako...Kila laheri