Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

What to do ? Maana mdogo angu pia anasumbuliwa na addiction ya pombe na yeye Pombe na yeye na POMBE balaa. Nimeongea wee tumeongea wee lakini habadirik mpaka tumechoka...
 
Pole mkuu, usijione mwenye hatia, huenda hata ungekuwa karibu isingesaidia. Pole sana.sana.
 
What to do ? Maana mdogo angu pia anasumbuliwa na addiction ya pombe na yeye Pombe na yeye na POMBE balaa. Nimeongea wee tumeongea wee lakini habadirik mpaka tumechoka...
Siyo suala la kuongea tu.

Kuweni karibu nae, mtafutieni kitu cha kufanya awe bize.

Msimkaripie wala kumdharau, mtu husikiliza watu wanaomheshimu na kumjali.
 
Siyo suala la kuongea tu.

Kuweni karibu nae, mtafutieni kitu cha kufanya awe bize.

Msimkaripie wala kumdharau, mtu husikiliza watu wanaomheshimu na kumjali.
Ni mtaratibu Sanaa anakunywa kwa Siri then akirud home analala Kama amekufa..

Tuna muheshimu na anakazi yake nzurii TU tatizo Ni Hilo ulevi ulio pitilizaa balaa

Sijui kalogwa na Nani na Nini maana mpaka naogopa Nini kimemkumbaa Ni Maumivu kwa kweli..
 
Alipoteza dhumuni kuu la maisha!

Kuna eneo alilipigania sana likamsaliti akaona maisha hayana maana kabisa!!

Wapo wengi sana!
 
Poleee Sanaa Mkuuu
Shikmooo Mkuu

Mungu ampe Pumziko jema

Kikubwa tumuombe kwa Mola wetu
 
Unazani Nini kifanyike maana mdogo angu pia anapitia haya mapito anakunywa Sana nimeongea wee wazazi wameongea wee hasikilizi what to do..?? Nipo kwenye dillema for sure..
Well what he needs is someone who understands anachopitia. Clearly he saw lot of things, lakini pia ile attachment aliyokuwanayo jeshini, uraiani haipati ( ile brotherhood ), is why anaona hamumuelewi, or ana feel utumishi wake katika jeshi haudhaminiki despite ya yale aliyo yafanya serikali imemtupa

Let him determine what is he comfortable talking about, and don’t push.
Mchukue nenda nae mbali somewhere hajswahi kwenda, enjoy nae , mjengee mazingira ya kufunguka , in no time ataongea.

Remind him that hayuko peke ake, na wengine kama yeye au wasio kama yeye wana stories they can share about their readjustment. Or kama mna ndugu wa karibu au rafiki sake ambao wako in service au walitoka huko lakini wako vizuri sasa, unaweza wa involve kwenye hili wakaongea nae
 
Nafanyia kazi huu ushauri ntakupa mrejesho..
 
Ili asinywe kwa siri, msitumie lugha kali kwny kumshauri, ikibidi msindikize kwny kunywa, ahisi mko pamoja.

Siku moja mchukue kamnunulie pombe, hapo ndio ataanza kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…