Mpaka hapo ameshakosa hela ya kuhonga mademu, sasa hivi ni mwendo wa kunyetuka tu.Safi sana
SAWA. KWA HERIAfya imeyumba Sana
Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa
Madeni chungu zima!!
Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana ππππ
Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator
Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation π