Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

Nina rafiki yangu yeye hata akikuta kuku zinapigana anachagua jogoo la kushabikia anataka m-bet laki laki 😹😹😹
Hata Mimi nina tabia hizo hizo za rafiki yako. Hata nikikuta nyoka wanapigana basi Mimi lazima nichague upanda na kama Kuna uwezekano nabeti kabisa 😹😸😼
 
Afya imeyumba Sana

Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa

Madeni chungu zima!!

Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔
Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator

Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
Upo bado?
 
Back
Top Bottom