Sasa wanawake nao wanabeti??Nikishaona mtu anabet au ananishawishi tubet hata kwenye mpira tu, basi namuona wa hovyo na najiepusha naye kabisaaa..!!
Unakuta mwanaume wako au rafiki yako wa kiume anakushawishi..!!Sasa wanawake nao wanabeti??
Pilot kama pilot😂😂Afya imeyumba Sana
Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa
Madeni chungu zima!!
Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔
Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator
Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
kuna siku nimejikusanya vijiakiba vyangu kwenye simu kama 400K sijui n pepo gani likaniingia nikaideposit 50K ikapigwa, nikapata moto nikaweka 100k ikapigwa, nikaongeza 100k ikapigwa tena.Unacheza kamali na AI unategemea kushinda kweli?
Tatizo lingine ni kuwa muda wote anakuwa anaongelea mikeka na timu hadi za ligi ya Peru huko.Nikishaona mtu anabet au ananishawishi tubet hata kwenye mpira tu, basi namuona wa hovyo na najiepusha naye kabisaaa..!!