Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

Afya imeyumba Sana

Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa

Madeni chungu zima!!

Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔
Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator

Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
Ungecheza 888bet usingelalamika
 
Serikali ina jukumu la kupitia baadhi ya kamari na kuzipiga marufuku kama pombe tu wanatengeneza vijana wa hovyo huko baadae ila sidhani kama wanawaza haya na pia kundi la walipa kodi linapungus badala ya kuongezeka kwa umri na muda..
 
Afya imeyumba Sana

Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa

Madeni chungu zima!!

Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔
Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator

Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
Ulevi na kamari ni katika njia ya shetani,jitenge navyo ili upate kufanikiwa
 
Ujana una mengi....

Nilikuwa nawaona wajinga sana wanaobet....bwanabwana kuna siku niliweka buku 2 nikapata 50,000 eeh kesho yake nikanogew nakadeposit laki 1 eeh ikayeyuka kuna zile timu za peru aisee hatar ya dkka ya 90" bado sekunde mkeka unavlharibika.

Nikasema apa ngja niiweke seriously hii kazi...nikaweka tena 100k kama mtaji nikawa nabeti nikila kiasi chochote salio likiwa zaidi ya hyo laki natoa ibaki laki ile ile...... ndn ya miezi 2 kwenye akaunt nkajikuta nmekusanya 250k

Kwa siku hakikisha unaokota 10k au 15k....hii tamaa ya kuweka stake laki,afu kipato chako elf 50 utakufa mapema
 
Unaambiwa weka pesa kivideo cha kindege kitapaa weee halafu utakuwa bilionea na unaweka unarudia mara mbili, tatu, nne mpaka unabaki na ngozi tu halafu mnasema duniani hakuna uchawi.
 
huwa natembeza kichapo kwa madogo zangu juu ya huo ujinga wenu wa kubet,....
 
kindege kina pressure sana…halmanusura kinitoe roho…mapigo ya moyo yanaenda kasi…father benard flew away….!!
 
Aviator ni utapeli hahahah ukiwa hujaweka hela kana hesabu weeww, weka sasa uone. Niliacha huo upuuzi kitambo
 
Back
Top Bottom