Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

Ushauri wako hautekelezeki
Usipokuwa makini na marafiki wa mwenza wako ndoa inaweza ika fail
Sababu ya mtoa mada ni nyepesi sana kumbuka katika dunia rafiki huja na kuondoka ila familia inadumu
 
Wanawake ni changa moto, nimeshuhidia jamaa yangu mmoja anahama na kubadilisha nyumba za kupanga kila mara kutokana na migogoro ya Mke wake na wapangaji wenzake, kabla ya kuoa jamaa alikuwa hana migogoro kama hiyo.
 
Ushauri wako hautekelezeki
Usipokuwa makini na marafiki wa mwenza wako ndoa inaweza ika fail
Sababu ya mtoa mada ni nyepesi sana kumbuka katika dunia rafiki huja na kuondoka ila familia inadumu
Vipi kuhusu ndugu wa mume?.
Maana amesema huyo mwanamke hataki na ndugu wa mume pia na wageni anaowataka ni ndugu zake na marafiki zake yeye mwanamke!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…