Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tiba ya mke ni ile bakora tu, ukiitumia vizuri lazima akuheshimu; hakikisha unapokuwa kwenye shoo awe anatoka analia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia labda ya watoto.Ushauri wako hautekelezeki
Usipokuwa makini na marafiki wa mwenza wako ndoa inaweza ika fail
Sababu ya mtoa mada ni nyepesi sana kumbuka katika dunia rafiki huja na kuondoka ila familia inadumu
Ndio hapo sasa.Wanawake wana akili za kijinga sana. Hivi wewe hali ikiwa ngumu nani atakuokoa kama sio marafiki zako. Lenyewe halitakuwa hata na cha kufanya zaidi ya kuhaha tu kama sio kukimbia
Niko salama kabisa Mtumishi, joto linatutesa tu. Uko huko huko bado? KaribuMambo mengi mno Mtumishi wa Bwana,
Nipo salama kabisa, vipi wewe..??
Family first ni vema aendelee kutafuta namna nzuri ya kushughulikia changamoto zake ikiwa ni upande wa kiume au kike unapoingia kwenye ndoa lazima Kuna mambo yatabadilika na huenda ameongea machache ila IPO sababu ya msingi ya hili kutokea ila hajalisemaFamilia labda ya watoto.
Huyo mke anaweza asidumu vile vile mkapeana talaka.
Je hilo walionaje!?
Marafiki ama majamaa ni watu muhimu katika haya maisha,huwezi jua hao jamaa mleta mada katoka nao wapi.
Mwishowe utakuja kumkosesha mwenzio dili za kifedha za umuhimu kwa us*enge huu huu eti sitaki marafiki.
Huu ujinga mie siukubali,ila jamaa anaonekana mlaini sana hajui kukemea.
6-9Hamna ukweli hapo.
Sasa mhusika ndiyo kasema hivyo hauwezi kumbishia.Marafiki hawawezi kukushauri Uoe Wala ujenge haya maamuzi mtu huwa anafanya yeye mwenyewe kwa kuangalia na kutathmini uwezo wake
Yes wanaweza kuwa na mchango ila sio mkubwa kiasi Cha kusema kama sio wao basi usingefanya
Kifupi jamaa anaweza kuwa kamchoka huyo mwanamke Sasa anatafuta scape goat ili atimize malengo yake but nothing bits a woman who gave him two beautiful children ye afurahishe familia yake na sio marafiki
Hakuna fursa yeyote hapo mzee.Mkuu,tumia hiyo kama fursa to gain your financial freedom kama na yeye ni mpambanaji.
Ndugu yangu, ninavyohangaika na hizi Pesa za Tanzania, nipo kusini huku kwa muda..!!Niko salama kabisa Mtumishi, joto linatutesa tu. Uko huko huko bado? Karibu
Wazazi wake hazungumzi nao na kuwatembelea?Sasa mbona ni kitu kizuri?tena aongeze ukali zaidi. Marafiki kutana nao kwa kiasi na kuja nyumbani ni mara chache hasa kama kuna shughuli....huo ndio ukuaji. Mbona wazazi wako uliwaacha?
Kama mke wako naye hataki marafiki wa upande wake ili muwe wawili tu sawa hiyo nakupa 💯 kwasababu anataka mahinde wote umtafune kila saa pia akuone muda wote ili anyegeke ila kama rafiki wa upande wake wanakuja ndugu yangu tayari hilo jipuMatumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu kwa namna moja au nyingine ndio walionifanya nibadili maisha ya kisela ya kibachela na kuamua nami niwaige kua na familia. Niliona kabisa nahitaji kufanya hivyo ili niendane nao.
Huyu mke wangu anawafahamu vizuri rafiki zangu hata kabla sijamuoa, ingawa kuna tabia alikua anaionesha ya kuchukia/kukasirika hasa nnapomwambia nipo na marafiki zangu au la pale anaponiona na marafiki zangu. Wakija kunitembelea nyumbani alikua anawapokea vizuri na anawachangamkia.
Lakini mambo yalibadilika ghafla baada ya kufunga nae pingu za maisha.
Anaonesha dhahiri kwamba hawataki rafiki zangu. Hataki waje nyumbani wala hataki mimi niende kuonana nao. Anataka nikitoka kazini moja kwa moja nyumbani, weekends anataka tushinde nyumbani tu. Akisikia hodi ya rafiki yangu yoyote atanuna siku nzima. Anasema wananiharibu, amesahau hao hao ndio walionifanya nimenunua kiwanja na kujenga nyumba, nilinunua gari kwa msaada wa rafiki zangu haohao. Vingi nilivyonavyo nimevipata kwa kua inspired nao.
Hata kumchagua yeye nimuoe, ingawa hajui lakini rafiki hao ndio walinishauri kwamba anafaa zaidi yeye kuliko wengine nilio kua nao. Hataki ndugu, hataki mtu yoyote mgeni zaidi ya rafiki zake au ndugu zake tu.
Kwa sasa rafiki zangu hao pamoja na kumtetea sana mke wangu, wameshagundua kwamba wanajibembeleza sana kuja kwangu. Wote wamekata mguu, imebaki mimi kuwatafuta lakini kila mmoja sasa hivi anaonekana anahamsini zake.
Furaha ya mke wangu ni kuniona mimi tu pembeni yake muda wote. Sina mawazo mapya sababu sijumuiki na wenzangu. Nimekua kama msukule sipati marafiki wapya na niliokua nao hawapo tena.
Hivi majuzi nimepata kibarua mkoani, nimepata angalu muda wa kuwapigia, lakini muamko wao si kama wa zamani.
Naombeni ushauri wenu, nyumba yangu kubwa lakini haivutii kabisa wala siipendi kwa sababu inasisi watu wazima wawili na watoto wawili ambao nao wanashinda shule. Muda mwingi ipo kimya kama wanga vile 😭😭
Duh, hebu njoo kule kwa siku zote, nilikua huko huko kusini ujue. Hebu tuhamie kuleNdugu yangu, ninavyohangaika na hizi Pesa za Tanzania, nipo kusini huku kwa muda..!!
Family first hatujakataa.Family first ni vema aendelee kutafuta namna nzuri ya kushughulikia changamoto zake ikiwa ni upande wa kiume au kike unapoingia kwenye ndoa lazima Kuna mambo yatabadilika na huenda ameongea machache ila IPO sababu ya msingi ya hili kutokea ila hajalisema
Rafiki wanafiki wako wengi sana duniani
Pole sanaaaMatumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu kwa namna moja au nyingine ndio walionifanya nibadili maisha ya kisela ya kibachela na kuamua nami niwaige kua na familia. Niliona kabisa nahitaji kufanya hivyo ili niendane nao.
Huyu mke wangu anawafahamu vizuri rafiki zangu hata kabla sijamuoa, ingawa kuna tabia alikua anaionesha ya kuchukia/kukasirika hasa nnapomwambia nipo na marafiki zangu au la pale anaponiona na marafiki zangu. Wakija kunitembelea nyumbani alikua anawapokea vizuri na anawachangamkia.
Lakini mambo yalibadilika ghafla baada ya kufunga nae pingu za maisha.
Anaonesha dhahiri kwamba hawataki rafiki zangu. Hataki waje nyumbani wala hataki mimi niende kuonana nao. Anataka nikitoka kazini moja kwa moja nyumbani, weekends anataka tushinde nyumbani tu. Akisikia hodi ya rafiki yangu yoyote atanuna siku nzima. Anasema wananiharibu, amesahau hao hao ndio walionifanya nimenunua kiwanja na kujenga nyumba, nilinunua gari kwa msaada wa rafiki zangu haohao. Vingi nilivyonavyo nimevipata kwa kua inspired nao.
Hata kumchagua yeye nimuoe, ingawa hajui lakini rafiki hao ndio walinishauri kwamba anafaa zaidi yeye kuliko wengine nilio kua nao. Hataki ndugu, hataki mtu yoyote mgeni zaidi ya rafiki zake au ndugu zake tu.
Kwa sasa rafiki zangu hao pamoja na kumtetea sana mke wangu, wameshagundua kwamba wanajibembeleza sana kuja kwangu. Wote wamekata mguu, imebaki mimi kuwatafuta lakini kila mmoja sasa hivi anaonekana anahamsini zake.
Furaha ya mke wangu ni kuniona mimi tu pembeni yake muda wote. Sina mawazo mapya sababu sijumuiki na wenzangu. Nimekua kama msukule sipati marafiki wapya na niliokua nao hawapo tena.
Hivi majuzi nimepata kibarua mkoani, nimepata angalu muda wa kuwapigia, lakini muamko wao si kama wa zamani.
Naombeni ushauri wenu, nyumba yangu kubwa lakini haivutii kabisa wala siipendi kwa sababu inasisi watu wazima wawili na watoto wawili ambao nao wanashinda shule. Muda mwingi ipo kimya kama wanga vile 😭😭
nikuulize mkuu kwahiyo yeye mwanamke kuleta marafiki zake na ndugu zake ni sawa?
Sasa kama mke atakataa hadi ndugu zako hapo si unaona shida tayari ndani ya nyumbaFamily first hatujakataa.
Ila sio kwa kukataza ndugu na majamaa.
Hapo mleta mada keshasema hadi ndugu zake mkewe kamkataza kuwaleta.
Na MIND YOU BRO WANAWAKE wa siku hizi hawana guarantee.
Family ni WATOTO ZAKO MKEO USIMUHESABIE.
Hao hawachelewi kwenda TAMWA na TAWLA kudai talaka na kuomba mgawanyo wa mali.
Siku unaweza shikwa na gonjwa mkeo akawa ndio wakwanza kukukimbia na majamaa uliowakataa ndio wakakuuguza.
Mimi nime experience haya.
Sasa kama unataka kuumia weka guarantee kwa huyo unaemuita mkeo eti family.