Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

Mwanamke anayekutenga na marafiki na ndugu anataka kukutawala!
Nakushauri amka kaka toka usingizin
 
Wewe ni bogus. Huyo mkeo anakutenganisha na ndugu zako na marafiki zako ili akutawale vizuri......divide and rule.... atakupukuchua akimaliza anakutema ukiwa hauna msaada wowote
 
Mkuu trust me,utatajirika na huyo mkeo kavunja cycle ya marafiki zako ambao kwake hajawaelewa.
Pambana
We kweli unakokoto kichwani yaani amevunja marafiki wako na ndugu zako halafu wake amewaacha eti utatajirika kama utajiri ndio upo hivyo basi kila mtu angekua milionea.......punguza umama
 
Marafiki hawawezi kukushauri Uoe Wala ujenge haya maamuzi mtu huwa anafanya yeye mwenyewe kwa kuangalia na kutathmini uwezo wake
Yes wanaweza kuwa na mchango ila sio mkubwa kiasi Cha kusema kama sio wao basi usingefanya
Kifupi jamaa anaweza kuwa kamchoka huyo mwanamke Sasa anatafuta scape goat ili atimize malengo yake but nothing bits a woman who gave him two beautiful children ye afurahishe familia yake na sio marafiki
Labda marafiki zako
 
Back
Top Bottom