Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli unakokoto kichwani yaani amevunja marafiki wako na ndugu zako halafu wake amewaacha eti utatajirika kama utajiri ndio upo hivyo basi kila mtu angekua milionea.......punguza umamaMkuu trust me,utatajirika na huyo mkeo kavunja cycle ya marafiki zako ambao kwake hajawaelewa.
Pambana
🤣We kweli unakokoto kichwani yaani amevunja marafiki wako na ndugu zako halafu wake amewaacha eti utatajirika kama utajiri ndio upo hivyo basi kila mtu angekua milionea.......punguza umama
Labda marafiki zakoMarafiki hawawezi kukushauri Uoe Wala ujenge haya maamuzi mtu huwa anafanya yeye mwenyewe kwa kuangalia na kutathmini uwezo wake
Yes wanaweza kuwa na mchango ila sio mkubwa kiasi Cha kusema kama sio wao basi usingefanya
Kifupi jamaa anaweza kuwa kamchoka huyo mwanamke Sasa anatafuta scape goat ili atimize malengo yake but nothing bits a woman who gave him two beautiful children ye afurahishe familia yake na sio marafiki