Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Asante kwa ushauri mkuu..hii kitu ipo aina mbili kuna inayolea watoto na inayoua watoto na sio bawasiri ni Likango..nilituma picha humu mod wamefuta
imani itakuua mkuu ,likango inayolea watoto na inayoua watoto!!!Fika hospitali mkuu wakakuangalie upate suluhisho
 
Kama mimba zinaharibika kwa wanawake tofautitofauti, kuna uwezekano una tatizo kwenye vinadaba. Kwahiyo, unahitaji kufanyiwa genetic tests. Pia ujauzito ukiharibika inabidi sample ipelekwe kwa vipimo vya cytogenetics.

Haina uhusiano kabisa na kundi la damu.
Rhesus factor mkuu acha kupotosha watu kwamba hakuna uhusiano na kundi la damu
 
Back
Top Bottom