Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rh yetu ipo sawa mkuu hakuna shidaAchana kwanza achana na huo ujingavwa likango, Kuna ishu ya rhesus factor (Rh) inakupasa kuwa na mipango juu ya mwanamke unayemtaka awe mama wa wanao, na hapo ndio linakuja suala la kwenda hospital ukiwa na mwenzi wako nakupima vipimo vya damu na hapo doctor atakuja na vimimo. Hata waambia ukweli kuhusu uwezekano wa nyinyi kuweza kupata mtoto kutokana na vipimo. Anaweza akashauri pindi anaposhika mimba tu haraka achomwe sindano ili kutoadhiri ujauzito.
Hiyo sijui ni geography ya wapi...😂Doctor tujibu kwanza.
Ni kweli kwamba Bawasiri awe nayo Mwanaume ikatoe Mimba Kwa Mwanamke!?
Kuna mahali waliandika kuwa mgagani ni dawa ya bawasiri!, unatwanga yale majimaji yake unajiwekea kila siku kwa muda wa siku tatu!.Ni kama bawasiri mkuu nishauri tu ndugu yangu
Ndiyo Kila siku ikiwezekana hata mara mbili Kwa siku na ukizingatia kutokukaa kwenye kitu kigumu kama kiti.Yaani unakaa chini kwa kukunja miguu kama wanavyokaa watoto au wanavyokaa waislamu wakiwa msikitini.hii husaidia mzunguko wa damu kupitia vizuri kwenye maeneo ambayo bawasiri ipo na hatimaye hupungua na kuisha.Ikishindikana nenda hospitali ukafanyiwe operation japo muda mwingine hurudiUnapaka alove vera kila siku au..Na inaondoka kwa muda gani?
YesDamu yako group gani.kuna group inatakiwa mama achomwe sindano flani
TuwasilianeBado sijafanikiwa Dr. na miaka inazidi kwenda mimba zote zinapotea 🥲
Group la damu yako ni group gani?Mwanaume mkuu,nimeeleza vizuri mbona
Ruvuma seem gan maana naifaham kwa namna fulaniMimi ME mtu Ruvuma
Ipo mkuu kiasili usiseme hivyo hayajakukuta..Nina rafiki yangu ni Lecturer pale mlimani na yeye ana likango kapoteza mimba kama 10Yes
Blood coagulation, mtoto anafia tumboni sabab ya conflict tu ya blood group.
Shida bongo watu tuko wajinga sana, sasa hio bawasiri-like thing iko kwa mwanaume inaenda kuaffect vp mtoto wakati baada ya mwanaume kumwaga sperm tu role yake kwenye procreation inaishia hapo.