Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza watoto wengine wawili kabla ya kuzaliwa wakiwa tumboni.

Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee kuwaomba ushauri.Kuna sehemu huku mkoani nikapelekwa kwa mama mmoja akaniangalia akasema nina likango kwa jina maarufu.

Hii ni kama bawasiri ila sio bawasiri na kazi yake ni moja tu kumaliza watoto. Huota katikati ya tundu la haja kubwa. Nikaambiwa inatakiwa nipate tiba ili niweze kuitwa baba.

Na katika mimba hizo 10 zimepatikana kwa kipindi cha miaka hii miaka4 kwa wanawake tofautitofauti. Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa mwenye experience na hii kitu aweze kunisaidia jinsi gani nitaiondoa katika mwili wangu.Asanteni 🙏..

Hii picha nilipiga mwaka 2021 ilivyonianza hilo tatizo la likango.

Kuna kitu unafichwa.. mmeshaenda kupima makundi ya Damu? . Kama issue ni bawasili naweza kukusaidia ndani ya siku 5 kile kinyama kinatoka kabisa .. lakini kuhusu kuwa ndio tatizo la kuzuia mimba au kusababisha watoto wanakufa hapana either Kuna tatizo unalo wewe au Kuna maagano ya ukoo au mwanamke alikutengeneza ili usije wahi pata mtoto...

Kama issue ya bawasili naweza kukusaidia . Utapona izo issue za mtoto hapana
 
Na katika mimba hizo 10 zimepatikana kwa kipindi cha miaka hii miaka4 kwa wanawake tofautitofauti. Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa mwenye experience na hii kitu aweze kunisaidia jinsi gani nitaiondoa katika mwili wangu.Asanteni

Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza watoto wengine wawili kabla ya kuzaliwa wakiwa tumboni.

Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee kuwaomba ushauri.Kuna sehemu huku mkoani nikapelekwa kwa mama mmoja akaniangalia akasema nina likango kwa jina maarufu.

Hii ni kama bawasiri ila sio bawasiri na kazi yake ni moja tu kumaliza watoto. Huota katikati ya tundu la haja kubwa. Nikaambiwa inatakiwa nipate tiba ili niweze kuitwa baba.

Na katika mimba hizo 10 zimepatikana kwa kipindi cha miaka hii miaka4 kwa wanawake tofautitofauti. Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa mwenye experience na hii kitu aweze kunisaidia jinsi gani nitaiondoa katika mwili wangu.Asanteni 🙏..

Hii picha nilipiga mwaka 2021 ilivyonianza hilo tatizo la likango.
Pole sana ndugu je tatizo ni bawasili ndio linasababisha upoteze mimba kama ndio nakupa njia ya kujitibu bawasili ukiwa apo ulipo pasipo na galama yoyote ile tafuta mafura ya nyonyo pia nenda duka la dawa za asili kanunue gamba au jumba la konono matumizi chukua jumba la konokono lichome kwenye moto alafu tafuta sehemu lisage lile jumba baada ya kulichoma chukua ule unga changanya na mafuta ya nyonyo paka sehemu usika kila unapo taka kulala usiku ndani ya wiki mbili lazima uone mabadiliko na pia ukifuatilia masharti lazima upone pia kuna dawa nyine lazima utumie anza na iyo alafu nitafute ndugu
 
Asante mkuu..inaondoka kabisa?
 
Wewe mwanaume!sasakuwa na hicho kinyama kama bawasili kunahusikaje na vifo vya watoto ambao wanazaliwana wanawake zako??nieleweshe
Ni ishu ya kiimani zaidi mkuu
 
Kuna kitu unafichwa.. mmeshaenda kupima makundi ya Damu? . Kama issue ni bawasili naweza kukusaidia ndani ya siku 5 kile kinyama kinatoka kabisa .. lakini kuhusu kuwa ndio tatizo la kuzuia mimba au kusababisha watoto wanakufa hapana either Kuna tatizo unalo wewe au Kuna maagano ya ukoo au mwanamke alikutengeneza ili usije wahi pata mtoto...

Kama issue ya bawasili naweza kukusaidia . Utapona izo issue za mtoto hapana
Sijaficha kitu mkuu..wazee wanasema ni likango inafanana na bawasiri,naomba nisaidie ndugu yangu
Kuna kitu unafichwa.. mmeshaenda kupima makundi ya Damu? . Kama issue ni bawasili naweza kukusaidia ndani ya siku 5 kile kinyama kinatoka kabisa .. lakini kuhusu kuwa ndio tatizo la kuzuia mimba au kusababisha watoto wanakufa hapana either Kuna tatizo unalo wewe au Kuna maagano ya ukoo au mwanamke alikutengeneza ili usije wahi pata mtoto...

Kama issue ya bawasili naweza kukusaidia . Utapona izo issue za mtoto hapana
Sijaficha kitu,wazee wanasema ni likango inafanana na bawasiri..
Naomba nisaidie ndugu yangu 🙏
 
Asante mkuu..inaondoka kabisa?
Inamaziza chngamoto yote ya bawasili ila kama kuna changamoto ya uzazi tumia mizizi ya tulala au kwa luga nyingne uiita ndulule chemsha kunywa wew na mpenzi wako
 
Shukrani mkuu
 
Bawasiri ukipaka shubiri mwitu(aloe Vera)Huwa inaondoka)ukizingatia na ulaji wa mbogamboga nyingi pamoja na maji
 
Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza watoto wengine wawili kabla ya kuzaliwa wakiwa tumboni.

Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee kuwaomba ushauri.Kuna sehemu huku mkoani nikapelekwa kwa mama mmoja akaniangalia akasema nina likango kwa jina maarufu.

Hii ni kama bawasiri ila sio bawasiri na kazi yake ni moja tu kumaliza watoto. Huota katikati ya tundu la haja kubwa. Nikaambiwa inatakiwa nipate tiba ili niweze kuitwa baba.

Na katika mimba hizo 10 zimepatikana kwa kipindi cha miaka hii miaka4 kwa wanawake tofautitofauti. Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa mwenye experience na hii kitu aweze kunisaidia jinsi gani nitaiondoa katika mwili wangu.Asanteni 🙏..

Hii picha nilipiga mwaka 2021 ilivyonianza hilo tatizo la likango.
Kwani kuwa na mtoto lazima?

Ukiishi bila mtoto utakuwa hujakamilika?
 
Wewe ni ME au KE alafu unianbie na kabila lako maana ilo likango wanakuwanalo KE kama utakuwepo sehemu ambayo nimewahi kupita nitakupa mtu akusaidie utajieleza unachohitaji atakusiadia
 
Wakuu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena naombeni msaada wenu.Mwaka 2022 nilileta uzi kuhusu watoto wangu wanaozaliwa na kufa kabla au baada ya kuzaliwa. Sasa mwaka huu tena 2024 nimepoteza watoto wengine wawili kabla ya kuzaliwa wakiwa tumboni.

Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee kuwaomba ushauri.Kuna sehemu huku mkoani nikapelekwa kwa mama mmoja akaniangalia akasema nina likango kwa jina maarufu.

Hii ni kama bawasiri ila sio bawasiri na kazi yake ni moja tu kumaliza watoto. Huota katikati ya tundu la haja kubwa. Nikaambiwa inatakiwa nipate tiba ili niweze kuitwa baba.

Na katika mimba hizo 10 zimepatikana kwa kipindi cha miaka hii miaka4 kwa wanawake tofautitofauti. Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa mwenye experience na hii kitu aweze kunisaidia jinsi gani nitaiondoa katika mwili wangu.Asanteni 🙏..

Hii picha nilipiga mwaka 2021 ilivyonianza hilo tatizo la likango.
Blood group umepima wee na mkeo??
 
Hapa naona na mimi unanigusa.
Maana mimi ni 0+ mke wangu pia ana O+. Hii haitaleta shida kwenye uzao maana muda huu ni mjamzito?
Mkiwa wote + ni fresh kabisaa.. ila mmoja akiwa - hasa mama hapo ni kisangaa.
 
Back
Top Bottom