Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Nimepoteza mimba 10 kwa tatizo hili

Kama mimba zinaharibika kwa wanawake tofautitofauti, kuna uwezekano una tatizo kwenye vinadaba. Kwahiyo, unahitaji kufanyiwa genetic tests. Pia ujauzito ukiharibika inabidi sample ipelekwe kwa vipimo vya cytogenetics.

Haina uhusiano kabisa na kundi la damu.
 
Wapo watoto wengine wanazaliwa na kufa mkuu
 
Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee kuwaomba ushauri.Kuna sehemu huku mkoani nikapelekwa kwa mama mmoja akaniangalia akasema nina likango kwa jina maarufu.
Alikuambia tiba yake ni nini?
 
Huyo sio daktari wa wanawake?? Jamaa ni mwanaume, anaamini mambo ya kishirikina kuwa mimba za wanawake wake zinatoka kwasababu yeye anahiyo ishu. Jambo ambalo hata bila utaalamu ni wazi kuwa halina ukweli.
Basi ngoja nikae pembeni
 
Yani hapa ni kama mbuzi kajileta kwa wauza supu,utapigwa Hele mpaka ufe.
Scientifically sioni mahusiano ya wewe kuwa na hicho unachosema kama bawasiri na mimba za wanawake zako.
Uliposema ulienda kutafuta tiba kwa mganga wa kienyeji ndio nimegundua wewe ni mjinga na mpuuzi.(vumilia hayo maneno )
Sasa nakupa ushauri mujarabu,usisikilize wahuni wowote humus wa tiba mbadala,sijui lishe,maombi,Uganda nk.
Nenda hospitali eleza shida yako wafanye vipimo sahihi baina yako na mwenzi wako.
 
Sawa mkuu nimekuelewa sana 🙏
 
Wewe mwanaume!sasakuwa na hicho kinyama kama bawasili kunahusikaje na vifo vya watoto ambao wanazaliwana wanawake zako??nieleweshe
 
Doctor tujibu kwanza.

Ni kweli kwamba Bawasiri awe nayo Mwanaume ikatoe Mimba Kwa Mwanamke!?
Kuna Rafiki yangu ana bawasiri na ana watoto 5 watoto wame fanana na baba yao. Alipata bawasiri alipopata mtoto wa pili.
 
Wote waliocomment naona walikimbia shule. Hakuna uhusiano wako wewe na mimba kutoka labda mambo ya kiimani zaidi. Uliwahi kukataa mtoto au mimba?
 
Back
Top Bottom