Sawa karibu uwe rafiki yanguSafi kabisa ,basi badaye Baby Doll ila ukihitaji rafiki Mimi nipo maana Sasa hivi rafiki yangu wa zamani Binti wa zamani hapatikani sijui kaniignore au kaniblock yaani sielewi kabisa aisee
Kweli ? Ahsante nakuja PM chap .Sawa karibu uwe rafiki yangu
Sawahawakufika ata uko kwenye hela ila nilikuwa niwape
Cm aina gannisaidie mkuu kama kuna uwezekano
Hamna wa kuwawajibisha.Polisi wanalalamikiwa sana na ata hawajiongezi.
Aipate wapi mapolisi wenyewe WEZI?Duh,pole,hopefully utaipata.
Una bahati ,mi nimeenda polisi receptionist wa kike wana nyodo balaa ,nikasema siku wakijichanganya na mimi kuja ofisini kwangu wataona maana watz sisi ni wajinga sana mtu akishakuwa kwenye ofisi ya umma position fulani anaona wengine wote ni takatakaMe yangu niliipata. Lkn nilitumia askari kanzu. Only 1 day...wakati huo polisi walishanizungusha zaidi ya week 2..na nilikuwa na kila kitu hadi risiti nilizonunulia na box la simu lenye sticker za imei namba.
Nilitoa kitu kdg kwa askari kanzu lkn na me pesa yangu ilirudi toka kwa mwizi wangu alokutwa nayo
Tatizo hilo...Una bahati ,mi nimeenda polisi receptionist wa kike wana nyodo balaa ,nikasema siku wakijichanganya na mimi kuja ofisini kwangu wataona maana watz sisi ni wajinga sana mtu akishakuwa kwenye ofisi ya umma position fulani anaona wengine wote ni takataka
Yaaaani JESHI la polisi Kwa ujumla sio lakuamini maana hawafanyi kazi Kwa ajili ya raia na mali zao, Bali wanafanya kazi Kwa ajili ya viongozi wa CCM na mali zao.mambo vipi?
Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila niicheck naona location inabadilika maana yake kuna mtu anaitumia na kuna muda anaizima ila laini za simu ni hazipatikani zitakuwa zimeshatupwa
Nikaamua kuchukua loss report na kwenda kituo cha polisi nilivyofika tu nikafika nikawakuta wahudumu wana maswali ya nyodo balaa wakaniuliza nina shida gani na kabla ya kunisikiliza niliwasikia wanasema kuna mtu kapoteza simu maana wao wanawahi kuona kwenye mfumo wao kipengele cha loss report, basi maswali yao umepoteza simu gani?ya tsh ngapi? baada ya hapo nikapewa jibu moja tu NENDA OFISI ZA TIGO nikajiuliza sasa tigo ndo jukumu lao ilo
Nikawaangalia walivyo na dharau na kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kisheria na hawajui kuwa izo ni ofisi za umma tu ambazo kila mtu ni ofisi yake nikaamua kujiondokea na kujisemea moyoni tz hakuna msaada bila kujipambania mwenyewe
Ila nimeamua simu yangu kuifuatilia mwenyewa kupitia google find hub ila uwezekano wa kuipata mdogo
Kafumaniwa huko ZimbabwePole sana, ila mwizi sio mtu wa kuachwa hai
Duu! akamuachia?.Ukipoteza simu usiwategemee police kweli. Mtu wangu wa karibu alienda police wakaipata na faini akapigwa ailiyoiba lakini simu hakurudishiwa na taarifa hkupewa. Siku akamkamata nayo huyo police
Wewe ulifanikiwa Kwa SABABU ya kujuana. Je Kwa mtu ambaye hajuani na mtu maana yake hawezi kupata huduma. Polisi wapo Kwa ajili ya kulinda viongozi na mali zoa ila sio Kwa ajili ya Raia na mali zao.Tatizo hilo...
Me nilipofika tu nilikutana na mtu ninaemjua nikasaidiwa kulog complaint yangu fasta
Sema kwenye ufuatiliaji ndio ikawa kipengele mpk nilipotumia askari mwengine. Na siku ya pili tu akanipigia simu nikaenda kituo kilekile nilipopeleka taarifa. Mimi pia kutokana na kazi yangu najuana na watu wengi sana so sehemu nyingi nikienda sipati tabu
Mkuu hio ni Zenji lkn sio huko Dar kwenu...kwenye mambo mengi