Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

mambo vipi?

Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila niicheck naona location inabadilika maana yake kuna mtu anaitumia na kuna muda anaizima ila laini za simu ni hazipatikani zitakuwa zimeshatupwa

Nikaamua kuchukua loss report na kwenda kituo cha polisi nilivyofika tu nikafika nikawakuta wahudumu wana maswali ya nyodo balaa wakaniuliza nina shida gani na kabla ya kunisikiliza niliwasikia wanasema kuna mtu kapoteza simu maana wao wanawahi kuona kwenye mfumo wao kipengele cha loss report, basi maswali yao umepoteza simu gani?ya tsh ngapi? baada ya hapo nikapewa jibu moja tu NENDA OFISI ZA TIGO nikajiuliza sasa tigo ndo jukumu lao ilo

Nikawaangalia walivyo na dharau na kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kisheria na hawajui kuwa izo ni ofisi za umma tu ambazo kila mtu ni ofisi yake nikaamua kujiondokea na kujisemea moyoni tz hakuna msaada bila kujipambania mwenyewe

Ila nimeamua simu yangu kuifuatilia mwenyewa kupitia google find hub ila uwezekano wa kuipata mdogo
Wakijua simu inazidi mshahara wao wanataka uwape hela zaidi ya nusu ya bei ya simu. Ila uwezo wa kumpata wanao.
 
Hata sielewi umuhimu wa hiko kitengo cha cyber crime, maana ukipoteza simu ujue hiyo imetoka tena usisubutu hata kutoa hela maana watajifanya wana-track lakini ushirikiano ni sifuri
 
mambo vipi?

Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila niicheck naona location inabadilika maana yake kuna mtu anaitumia na kuna muda anaizima ila laini za simu ni hazipatikani zitakuwa zimeshatupwa

Nikaamua kuchukua loss report na kwenda kituo cha polisi nilivyofika Mkuu pole kwa kuibiwa simu yako kam simu yako ina thamani Hebu nitafute mimi kwa wakati wako nikurudishie simu yako kabla ya siku ya 7 mwizi aliyekuibia atakutafuta na kwenda kituo cha polisi mwenyewe kuirudisha simu yako aliyoibau nikafika nikawakuta wahudumu wana maswali ya nyodo balaa wakaniuliza nina shida gani na kabla ya kunisikiliza niliwasikia wanasema kuna mtu kapoteza simu maana wao wanawahi kuona kwenye mfumo wao kipengele cha loss report, basi maswali yao umepoteza simu gani?ya tsh ngapi? baada ya hapo nikapewa jibu moja tu NENDA OFISI ZA TIGO nikajiuliza sasa tigo ndo jukumu lao ilo

Nikawaangalia walivyo na dharau na kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kisheria na hawajui kuwa izo ni ofisi za umma tu ambazo kila mtu ni ofisi yake nikaamua kujiondokea na kujisemea moyoni tz hakuna msaada bila kujipambania mwenyewe

Ila nimeamua simu yangu kuifuatilia mwenyewa kupitia google find hub ila uwezekano wa kuipata mdogo
Mkuu Pole sana kwa kuibiwa simu yako, hebu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kuirudisha simu yako iliyoibiwa mwizi aliyekuibia simu yako atairudisha kabla ya siku 7 tangu alipoiba.Mwizi arakwenda mwenyewe kituo cha Polisi pale ulipo report kuirudisha simu yako na utaipata simu yako.
 
mambo vipi?

Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila niicheck naona location inabadilika maana yake kuna mtu anaitumia na kuna muda anaizima ila laini za simu ni hazipatikani zitakuwa zimeshatupwa

Nikaamua kuchukua loss report na kwenda kituo cha polisi nilivyofika tu nikafika nikawakuta wahudumu wana maswali ya nyodo balaa wakaniuliza nina shida gani na kabla ya kunisikiliza niliwasikia wanasema kuna mtu kapoteza simu maana wao wanawahi kuona kwenye mfumo wao kipengele cha loss report, basi maswali yao umepoteza simu gani?ya tsh ngapi? baada ya hapo nikapewa jibu moja tu NENDA OFISI ZA TIGO nikajiuliza sasa tigo ndo jukumu lao ilo

Nikawaangalia walivyo na dharau na kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kisheria na hawajui kuwa izo ni ofisi za umma tu ambazo kila mtu ni ofisi yake nikaamua kujiondokea na kujisemea moyoni tz hakuna msaada bila kujipambania mwenyewe

Ila nimeamua simu yangu kuifuatilia mwenyewa kupitia google find hub ila uwezekano wa kuipata

Polisi wetu wengi [75%] hawafanyi kazi zao hadi wawe na maslahi binafsi, wameahidiwa au kupewa hongo.

Vv
 
Hii nchi raia tunakosa msaada kwenye ofisi za umma na hakuna pa kwenda kulalamikia.
 
mambo vipi?

Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila niicheck naona location inabadilika maana yake kuna mtu anaitumia na kuna muda anaizima ila laini za simu ni hazipatikani zitakuwa zimeshatupwa

Nikaamua kuchukua loss report na kwenda kituo cha polisi nilivyofika tu nikafika nikawakuta wahudumu wana maswali ya nyodo balaa wakaniuliza nina shida gani na kabla ya kunisikiliza niliwasikia wanasema kuna mtu kapoteza simu maana wao wanawahi kuona kwenye mfumo wao kipengele cha loss report, basi maswali yao umepoteza simu gani?ya tsh ngapi? baada ya hapo nikapewa jibu moja tu NENDA OFISI ZA TIGO nikajiuliza sasa tigo ndo jukumu lao ilo

Nikawaangalia walivyo na dharau na kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kisheria na hawajui kuwa izo ni ofisi za umma tu ambazo kila mtu ni ofisi yake nikaamua kujiondokea na kujisemea moyoni tz hakuna msaada bila kujipambania mwenyewe

Ila nimeamua simu yangu kuifuatilia mwenyewa kupitia google find hub ila uwezekano wa kuipata mdogo
Wanaoweza kukusaidia ni polisi kwa asilimia ndogo ni mafundi simu wa eneo husika
 
Mm mia sjawai ona mtu aliyepata simu yake kupitia polis ,muda wote ni kuzungushwa tuu,na maswali Yao eti Bei ya simu ni sh.ngap??
 
Ukipoteza simu usiwategemee police kweli. Mtu wangu wa karibu alienda police wakaipata na faini akapigwa ailiyoiba lakini simu hakurudishiwa na taarifa hkupewa. Siku akamkamata nayo huyo police
😹😹😹 Polisi wetu njaa sana.!!
 
Back
Top Bottom