Mchana ni police usiku ni vibaka.😹😹😹 Polisi wetu njaa sana.!!
😹😹😹Mchana ni police usiku ni vibaka.
Safi sanaKafumaniwa huko ZimbabweView attachment 3454163
Zanzibar sii ni kajimtaa tu, kupatikana ni rahisi sana...Tatizo hilo...
Me nilipofika tu nilikutana na mtu ninaemjua nikasaidiwa kulog complaint yangu fasta
Sema kwenye ufuatiliaji ndio ikawa kipengele mpk nilipotumia askari mwengine. Na siku ya pili tu akanipigia simu nikaenda kituo kilekile nilipopeleka taarifa. Mimi pia kutokana na kazi yangu najuana na watu wengi sana so sehemu nyingi nikienda sipati tabu
Mkuu hio ni Zenji lkn sio huko Dar kwenu...kwenye mambo mengi
Polisi wanalalamikiwa sana na ata hawajiongezi.
Khaaa...mbona wengine hawazipatiZanzibar sii ni kajimtaa tu, kupatikana ni rahisi sana...
Njoo Tanzania huku uone, unaibiwa na jirani yako na utasaka mpaka uchakae hupati...Khaaa...mbona wengine hawazipati
Acha zako basi mkuu 🤣Pole sana mkuu, ila riadha mlimaliza poa...??
Nyie huko hao wahusika wa kutafuta ndio wanapita nazoNjoo Tanzania huku uone, unaibiwa na jirani yako na utasaka mpaka uchakae hupati...
Huko nyie mwizi anaambiwa tangulia kituoni baada ya swala... hahahahNyie huko hao wahusika wa kutafuta ndio wanapita nazo
Si uneona shuhuda kuna wengine simu zinapatikana halafu walinzi wa nchi wanaziinjoi wao 😅
Jamaa kasema simu imepotea mkoani huko (labda Dodoma kwenye marathon)Mkuu Pole sana kwa kuibiwa simu yako, hebu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kuirudisha simu yako iliyoibiwa mwizi aliyekuibia simu yako atairudisha kabla ya siku 7 tangu alipoiba.Mwizi arakwenda mwenyewe kituo cha Polisi pale ulipo report kuirudisha simu yako na utaipata simu yako.