Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

Wakijua simu inazidi mshahara wao wanataka uwape hela zaidi ya nusu ya bei ya simu. Ila uwezo wa kumpata wanao.
 
Hata sielewi umuhimu wa hiko kitengo cha cyber crime, maana ukipoteza simu ujue hiyo imetoka tena usisubutu hata kutoa hela maana watajifanya wana-track lakini ushirikiano ni sifuri
 
Mkuu Pole sana kwa kuibiwa simu yako, hebu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kuirudisha simu yako iliyoibiwa mwizi aliyekuibia simu yako atairudisha kabla ya siku 7 tangu alipoiba.Mwizi arakwenda mwenyewe kituo cha Polisi pale ulipo report kuirudisha simu yako na utaipata simu yako.
 

Polisi wetu wengi [75%] hawafanyi kazi zao hadi wawe na maslahi binafsi, wameahidiwa au kupewa hongo.

Vv
 
Hii nchi raia tunakosa msaada kwenye ofisi za umma na hakuna pa kwenda kulalamikia.
 
Wanaoweza kukusaidia ni polisi kwa asilimia ndogo ni mafundi simu wa eneo husika
 
Mm mia sjawai ona mtu aliyepata simu yake kupitia polis ,muda wote ni kuzungushwa tuu,na maswali Yao eti Bei ya simu ni sh.ngap??
 
Ukipoteza simu usiwategemee police kweli. Mtu wangu wa karibu alienda police wakaipata na faini akapigwa ailiyoiba lakini simu hakurudishiwa na taarifa hkupewa. Siku akamkamata nayo huyo police
😹😹😹 Polisi wetu njaa sana.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…