Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

Zanzibar sii ni kajimtaa tu, kupatikana ni rahisi sana...
 
Njoo Tanzania huku uone, unaibiwa na jirani yako na utasaka mpaka uchakae hupati...
Nyie huko hao wahusika wa kutafuta ndio wanapita nazo
Si uneona shuhuda kuna wengine simu zinapatikana halafu walinzi wa nchi wanaziinjoi wao πŸ˜…
 
Mkuu jitahid siku ingine kwenda dukan na pesa ya kununua bidhaa!
 
Ukienda kwa wale wahuni wa makosa ya kimtandao,unakuta kila siku wanataka posho na uongo uongo mwingiii,mpaka unaona upuuzi na kuachana nao
 
Jamaa kasema simu imepotea mkoani huko (labda Dodoma kwenye marathon)
Kwahiyo mwizi apande mwendokasi alete simu dar, Tena kwenye kituo alichoripoti jamaa 🀣🀣🀣
Wachawi bwana πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…