Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,558
Chukua hatua..Hili ndio nalihisi. Kumbuka nimeshatafuta, nimejenga na Nina maeneo ambayo naweza kuyafanya mtaji ila nipo tu. Mwili na akili havinaushirikiano kabisa.

Nimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Unajua kuwaza kukata tamaa ni udhaifu mkubwa sana mwanadamu kuwaza hivyo, unatakiwa uwaze mazuri juu ya maisha yakoNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Maandiko yanasema Mungu alikujua wewe ungali upo tumboni mwa mama yako, amekuleta duniani anajua u utakua mtu fulani, amekupitisha vikwazo vingi kama ungekua ni wa kufa ungekufa muda tuNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Halafu jifunze sana kuwaza tofauti, mambo ya kuwaza marafiki wamekukimbia hao hawakuwa ni marafiki, ujue kabisa hao walikua sio marafiki, hakuna rafiki wa dhati akakuacha wakati wa shida, jaribu kuwa na marafiki wa faida sio rafiki mpaka uwe nacho ndiyo unamuonaNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Epuka sana muda wa kuwa peke yako, huo ni muda wa shetani, muda wa peke yako au upweke ni mbaya sana ni muda wa shetani kukutumia na kukujeuza kuwa mdhambi na kujiwazia vibayaNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Hakuna mtu aliezaliwa tajiri watu hupambana, na matajiri wangekupigia stori zao mpaka wanafika pale ungeshangaa watu hupitia magumu kufikia mahali fulani, hakuna maisha marahisiNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Hapa ndio unapokosea..ni kweli umerogwa na aliyekuroga ni wewe mwenyewe kwa imani na fikra yako hii.Hili ndio nalihisi. Kumbuka nimeshatafuta, nimejenga na Nina maeneo ambayo naweza kuyafanya mtaji ila nipo tu. Mwili na akili havinaushirikiano kabisa.
Asante mkuuPepo la mauti linakuandama, sikiliza mkuu jifunze kuacha kuwaza kujitoa roho maana sio solution, solution hapa nikulikabili tatizo, unavyojisikia ni kama bado unakosa kuwa mwanaume timilifu, hakuna mwanaume anaekata tamaa haraka bali uvumilivu na kupambana
Hakuna maisha marahisi mzee, tambua kuwa wewe ni mwanaume, na sifa kuu ya mwanaume ni kupambana mzee na sio kukata tamaaNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Asante mkuu. Ila naanzia wapi? Mwili hautaki, akili haitaki, najitahidu sana kufanya mazoezi lkn wapi. Sina furaha kabisaHapa ndio unapokosea..ni kweli umerogwa na aliyekuroga ni wewe mwenyewe kwa imani na fikra yako hii.
Thought shape Reality, kama unaona umerogwa basi utaishi Hivyo hvyo maana we Create our own demons...
Hakuna kurogwa wala nini change mindset yako kwanza
Jiulize mbona hujafa mpaka sasa kama kweli ulikua ni wa kufa,.... Nimekushauri kama utachukulia poa utajiangamizaNimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya maisha yake.
Picha linaanza. Nina elimu ya kawaida ambayo Watanzania wengi wanayo kwa sasa. Sijawahi kuajiriwa kwani ajira haijawahi kuwa kipaombele ktk maisha yangu.
Tangu nikiwa home kipindi hicho usukani sahani break mkeka (kula bure kulala bure) nilikuwa mtu wa kujichanganya sana kwenye mishe tofauti hadi nikafanikiwa kutengeneza kigheto changu cha kitozi chenye full furniture kwa kipindi hicho nikiwa bado home.
Nikaaga home nikaingia street kupanga. Hapo hasira zikaongezeka mara dufu kila fursa + kazi, zilizopita mbele yangu hazikunipita. Kwa ujumla nilijituma sana na kukubalika sana.
Starehe zangu tangu nikiwa school ni hizi za kawaida yaani ganja sana, mziki, tungi kiaina. Japo kwa sasa nimepunguza sana.
Mungu akazidi kuwa upande wangu nikanunua kiwanja Chanika, nikanunua shamba heka moja Mvuti pia nikafanikiwa kununua eneo lingine Zingiziwa.
Mungu hakuniacha, nikaanza ujenzi Chanika. Mwaka 2016 nikahamia rasmi kwenye banda langu.
Nikakodi fremu mtaani nikafungua duka tigo pesa + gesi na makorakoro kibao.
Hapo ndipo picha kamili likaanza maisha yangu yakawa hayaeleweki mishe zangu haziendi. Yaani kila ninachofanya kinaleta matokeo hasi.
Nimepambana hadi 2019 mwanzoni hali yangu ya uchumi ikazidi kuwa mbaya zaidi. Kiduka nacho kikafirisika japo bado kipo kinachechemea baada ya kumpa mtu wa mshahara.
Mambo yamegoma kwenda, nimepoteza hadi marafiki sababu nadhani hawanielewi nimekuwaje. Nimekuwa mtu wa hofu bila sababu sijiamini kabisa yani.
Kuna kipindi nawaza kuinyofoa roho yangu ila nikiiangalia family nasita kidogo.
Mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kushinda ndani muda mwingi sana. Nimekuwa mpweke balaa. Kichwa kimekuwa kizito, ubunifu zero kabisa!
Ni imani yangu kuna mahala nilikosea au kuna shida mahali. Nimelileta kwenu wakuu maana nadhani kwa ukubwa wa jukwaa hili kuna uwezekano kuna waliopitia haya nnayopitia au kuna wenye maono + maoni ya kujua na kushauri kuhusu hili tatizo langu.
Asanteni
Mkuu ishu yangu Mimi na mambo ya siasa haviendani kabisa. Kwanza Mimi siamini km siasa zinaweza kuwa na muingiliano na utafutaji wangu.
Nisome vizuri ni kwamba hari yangu yaupambanaji imeshuka kwakiwango chakutisha. Pamoja na kuwa rasirimali Ninazo.
Mkuu km umenisoma vizuri ni kuwa nimepoteza hari ya mapambano. Nimekuwa tofauti na asilia yangu. Moyo wangu umejawa na uoga na kutojiamini. Kiumri bado ni kijana na nimepambana vilivyo. Nilipotoka ni pagumu kuliko hapa nilipo. Na kwamtazamo wa wengi wanaonizunguka ( majirani) wananiona Mimi boss flan. Ila ukweli ndio huo hapo juu.Hakuna mtu aliezaliwa tajiri watu hupambana, na matajiri wangekupigia stori zao mpaka wanafika pale ungeshangaa watu hupitia magumu kufikia mahali fulani, hakuna maisha marahisi
Wewe umeathirika na siasa ila siasa ni ajira za watu mkuu. Watu wanakunja 12m per month.Kama hujui na kuamini kuwa shughuli zako zinaathiriwa na siasa unafikiri utajua hatma yako kama hujui jambo dogo kama hilo?
Hujui siasa ndio maendeleo?
Hujui siasa ndio hukuletea wateja au kukupunguzia?
Hujui siasa zinaweza kukufanya upate faida nyingi au ndogo katika biashara zako?
Wewe kama huoni hayo basi jua bado hujajitambua, na maisha yatakuendesha mpaka akili ikukae.
Mimi mijitu kama hii ikijaga kuomba msaada kwangu, huwa naiuliza maswali machache nikishajua naongea na punguani, nakufukuza kama paka shume upeleke upunguani wako huko.
Wewe umeathirika na siasa ila siasa ni ajira za watu mkuu. Watu wanakunja 12m per month.
Siasa sio sababu ya Mimi kujifungia ndani. Matatizo yangu hayajaletwa na mbunge wala Rais.
Kwangu Mimi nchi ikiwa tulivu na amani basi ni bonge la fursa kwamwananchi.