Nimepoteza uwezo wa kujiamini kabisa na sielewi hatma yangu

yaani una nyumba kiwanja na shamba na bado una biashra juu,,, alfu unasema uelewi elewi daaaaah

sisi tuliopanga chumba kimoja na tuna wake na watt tusemaje mkuu
Kwahyo kuwa na kiwanja shamba na biashara ndo mwisho wa kutafuta?? Umemuelewa vzr? Kuna kitu si cha kawaida kimemvaa
 
Mchawi pesa. Tafuta pesa watu watajishusha kwako na itajikuta una confidence...hata wanawake watajileta miguu mwako
 
Umerogwa kwa 199%
 
Nipo pouwa now
Asanteni Sana kwa ushauri
🙏🙏🙏
 
Katika hii conflict
Ni kick?
Ni ukweli?
Ni njaa na stress?
Njoja tusubiri na kuona
 
Umetengamaa mkuu au hali imezidi kuwa tight?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…