Nimerejea JF baada ya kuupitia mtandao wa X (Twitter)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara,

Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani Twitter,
Nilikuwa nasikia sikia tu kwamba huo mtandao ni ule wa watu wenye Akili kubwa kubwa sana Yani great thinker,

Na hichi ndicho nilichogundua,

Ule mtandao wa X ni mtandao wa kitoto na kipashikuna kuliko mtandao wwoote hakuna Cha great thinker wala nini tofauti Yao ni Kwa sababu ya viongozi wakubwa wakubwa wamejaa kule ,na wenyewe hakuna chochote Cha maana wanacho tweet zaidi ya tweet za Rambi Rambi ,pongezi na kujimwambafai,

Kule X Kuna hao mabroo wao,wenyewe wanajikuta Wana Akili kuliko wengine ,lakini kinyume chake ni utopolo tu ,
Wao tweet zao ata wakipost nukta wanasifiwa makoment kibao,ukiwagusa kidogo tu wanapandisha sukari,
Nilichogundua ni waoga kuliko Ata nyoka wanatembeza block kama njugu ,

Kuna hao wanaharakati wa vyama pinzani huko X,wanajikuta Wana hoja kuliko wengine ,hawataki kupingwa na huku Kila siku wakihubiri uhuru wa kujieleza,
Wakitoa hoja zao ukiwapa fact tegemea block na kutukanwa ,matusi kwao ndio kimbilio na wafuasi wao walivyo vilaza wao Kila kitu ndio,

Kuna wasimbe huko kazi zao kushauri wenzao kukataa ndoa na wakati wenyewe wanazitaka ,

Kuna hizo pisi zao sasa wenyewe ndio wanaziona Kali lakini hamna kitu ,
JF Kuna mali safi mara kumi kuzidi huko X

Yaani X (Twitter) ni mtandao wa kawaida sana tofauti yake ni ule umaarufu tu lakini ni useless

Nimerudi zangu JF sehemu pekee inayoruhusu mawazo huru bila kujari cheo wala wadhifa wa mtu.

Cc Zero IQ
 
Kama lilivyo jina lako linalo represent upeo wako mdogo wa akili sishangai kukuona ukisema X ni mtandao wa kitoto.

X is too big 4 your insanity
Yupo sahihi, kipindi cha nyuma X na Jf ilikuwa na sifa ya mitandao wa "wasomi". Kwasasa X ni tik tok iliyozubaa.

Mara ya mwisho X kuwa ya maana ni 2017 kurudi nyuma kabla wakina Madenge kuanza post upumbavu.
 
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara,

Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani Twitter,
Nilikuwa nasikia sikia tu kwamba huo mtandao ni ule wa watu wenye Akili kubwa kubwa sana Yani great thinker,

Na hichi ndicho nilichogundua,

Ule mtandao wa X ni mtandao wa kitoto na kipashikuna kuliko mtandao wwoote hakuna Cha great thinker wala nini tofauti Yao ni Kwa sababu ya viongozi wakubwa wakubwa wamejaa kule ,na wenyewe hakuna chochote Cha maana wanacho tweet zaidi ya tweet za Rambi Rambi ,pongezi na kujimwambafai,

Kule X Kuna hao mabroo wao,wenyewe wanajikuta Wana Akili kuliko wengine ,lakini kinyume chake ni utopolo tu ,
Wao tweet zao ata wakipost nukta wanasifiwa makoment kibao,ukiwagusa kidogo tu wanapandisha sukari,
Nilichogundua ni waoga kuliko Ata nyoka wanatembeza block kama njugu ,

Kuna hao wanaharakati wa vyama pinzani huko X,wanajikuta Wana hoja kuliko wengine ,hawataki kupingwa na huku Kila siku wakihubiri uhuru wa kujieleza,
Wakitoa hoja zao ukiwapa fact tegemea block na kutukanwa ,matusi kwao ndio kimbilio na wafuasi wao walivyo vilaza wao Kila kitu ndio,

Kuna wasimbe huko kazi zao kushauri wenzao kukataa ndoa na wakati wenyewe wanazitaka ,

Kuna hizo pisi zao sasa wenyewe ndio wanaziona Kali lakini hamna kitu ,
JF Kuna mali safi mara kumi kuzidi huko X

Yaani X (Twitter) ni mtandao wa kawaida sana tofauti yake ni ule umaarufu tu lakini ni useless

Nimerudi zangu JF sehemu pekee inayoruhusu mawazo huru bila kujari cheo wala wadhifa wa mtu.

Cc Zero IQ
Ukiwa huna Thamani ya Kipekee hapa JamiiForums kamwe usitegemee Kutajwatajwa hivi.
 
Ukitaka kuona X ina utoto utaona yule jamaa wa spana sijui

Akipost zile screenshot za majibizano baina mtu na mtu au myu na watu

Hapo ndipo unaona eeh kweli uku siku hizi kuna kautoto fulani hivi
 
Back
Top Bottom