Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Usihofu yupo huko alipo ni nyapara wa makaika
 
Pole sana mkuu, Binafsi Magufuli naamini ndiye Rais bora ambae aliiwaza Tanzannia ya miaka 2050, Magufuli alikuwa kiongozi sema Watanzania wengi wanataka wanasiasa.

Hii picha hapa chini iko ndani kwangu tena chumbani kwangu!

View attachment 1991351
Asante Mkuu.

Tuendelee kumuenzi mwana mapinduzi wa kweli kwa vitendo.

Nifuate: @KipepeComrade 'twitter'
 
" mimi napumzika nawaachia nchi yenu" hii nchi yenu. Mungu wangu nipumzishe salama.
Aliishatambua kuwa safari hii hawezi kupona.

Ni mtu ambae katika muda wote wa uongozi wake aliwindwa sana usiku na mchana.

Aliposhauriwa kukaa Chato kwa muda ilikuwa ni katika kujaribu kupooza upepo wa mawindo lakini haikusaidia mpaka alipompokea mzee madevu.

Mzee madevu ndie alikuwa last resort na ikawa hivyo.

Lakini akasema madhari wametimiza lengo lao basi wasubiri aondoke ndio waendelee na mambo yao, ila ameteseka sana mpaka dakika ya mwisho.

Mtindo wa uongozi wa mzee wa pwani si mtindo mzuri kabisa maana unaleta shida wazalisha makundi katika jamii, kwa walio wengi na raha kwa wezi wachache, wahujumu uchumi, waponda mali ya umma, wapigaji pamoja na madalali wa madawa ya kulevya.

Ni mtindo unokufanya uonekane ni dhaifu na kama kiongozi wautumia kutaka uonekane ni mtu wa watu na ulie na huruma hata kwa hawa wachache.

Mama ametuonyesha kwamba ameshindwa kuwamudu hao wachache na sasa wanafanya watakavyo.

Hata kama anasafiri kwenda nje kujaribu kujisafisha kwamba yeye ni tofauti ya JPM lakini wengine twaona kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha juu kwani hata Biden bado hakuamini hiyo "notion".

Na hata Boris hataonyesha waziwazi kwamba anaamini mwelekeo wa mama kwani bado wanamtathmini.

Nimejifunza siku nyingi kwamba nchi yetu ni maskini wa kila kitu akili, kufikiri na wananchi wake walo wengi ni wapumbavu na wasojitambua.

Ila ndo hivyo tena waziri mkuu ameanza kampeni ya 2025 na anasafisha njia kwa mama ili kazi ya kushinda bila kupingwa iwe rahisi.

"Shame to all those bunch of crooks who are currently screwing up our country".

Wake up Tanzania!!
 
Kwani watu waliohusika hawawezi kukamatwa
 
Wapumbavu kuilewa hii habari ni Kama chekechea kupewa mtihani wa chuo kikuu

Ila mdogo mdogo tu ipo siku na wao wataelewa tu
 
Mkuu kuhusu Kifo chake kimetokana na nini wala usijali kwani huenda nami kwa niliyoambiwa na Mchongo mzima ulivyokuwa hadi Kufa Kwake nimeanza kuuamini ule Msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na nina Watu Watatu katika hiyo 'List' huwa nikiwaona tu katika Tv ( Runinga ) huwa nazima kwa Hasira na kubaki Kuwasonya na Kuwatukana tu Kimoyomoyo na Kufuta Machozi ya kutuwahishia Udongoni Chato Mkoani Geita huyu Mwamba wetu.
Nataka niku-inbox nafanyaje?
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Popoma!; Hivi ulianza kuliwa mwaka gani?
 
Aliishatambua kuwa safari hii hawezi kupona.

Ni mtu ambae katika muda wote wa uongozi wake aliwindwa sana usiku na mchana.

Aliposhauriwa kukaa Chato kwa muda ilikuwa ni katika kujaribu kupooza upepo wa mawindo lakini haikusaidia mpaka alipompokea mzee madevu.

Mzee madevu ndie alikuwa last resort na ikawa hivyo.

Lakini akasema madhari wametimiza lengo lao basi wasubiri aondoke ndio waendelee na mambo yao, ila ameteseka sana mpaka dakika ya mwisho.

Mtindo wa uongozi wa mzee wa pwani si mtindo mzuri kabisa maana unaleta shida wazalisha makundi katika jamii, kwa walio wengi na raha kwa wezi wachache, wahujumu uchumi, waponda mali ya umma, wapigaji pamoja na madalali wa madawa ya kulevya.

Ni mtindo unokufanya uonekane ni dhaifu na kama kiongozi wautumia kutaka uonekane ni mtu wa watu na ulie na huruma hata kwa hawa wachache.

Mama ametuonyesha kwamba ameshindwa kuwamudu hao wachache na sasa wanafanya watakavyo.

Hata kama anasafiri kwenda nje kujaribu kujisafisha kwamba yeye ni tofauti ya JPM lakini wengine twaona kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha juu kwani hata Biden bado hakuamini hiyo "notion".

Na hata Boris hataonyesha waziwazi kwamba anaamini mwelekeo wa mama kwani bado wanamtathmini.

Nimejifunza siku nyingi kwamba nchi yetu ni maskini wa kila kitu akili, kufikiri na wananchi wake walo wengi ni wapumbavu na wasojitambua.

Ila ndo hivyo tena waziri mkuu ameanza kampeni ya 2025 na anasafisha njia kwa mama ili kazi ya kushinda bila kupingwa iwe rahisi.

"Shame to all those bunch of crooks who are currently screwing up our country".

Wake up Tanzania!!
Mzee mandevu who was he?
 
Kuna ukakasi, Ben Mkapa, Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mahiga inner cycle yote.

Sera ya wasaidizi wake wa karibu, kuponda kila kitu, kumtukana,kumdhalilisha na kuonyesha kwamba kila kitu alichofanya kilikuwa kibaya inashangaza wakati walikuwa na kuamua pamoja.
 
VP naye aliponea chupu chupu. May be hata huo u VP kapewa bcoz he know something!
 
Aliishatambua kuwa safari hii hawezi kupona.

Ni mtu ambae katika muda wote wa uongozi wake aliwindwa sana usiku na mchana.

Aliposhauriwa kukaa Chato kwa muda ilikuwa ni katika kujaribu kupooza upepo wa mawindo lakini haikusaidia mpaka alipompokea mzee madevu.

Mzee madevu ndie alikuwa last resort na ikawa hivyo.

Lakini akasema madhari wametimiza lengo lao basi wasubiri aondoke ndio waendelee na mambo yao, ila ameteseka sana mpaka dakika ya mwisho.

Mtindo wa uongozi wa mzee wa pwani si mtindo mzuri kabisa maana unaleta shida wazalisha makundi katika jamii, kwa walio wengi na raha kwa wezi wachache, wahujumu uchumi, waponda mali ya umma, wapigaji pamoja na madalali wa madawa ya kulevya.

Ni mtindo unokufanya uonekane ni dhaifu na kama kiongozi wautumia kutaka uonekane ni mtu wa watu na ulie na huruma hata kwa hawa wachache.

Mama ametuonyesha kwamba ameshindwa kuwamudu hao wachache na sasa wanafanya watakavyo.

Hata kama anasafiri kwenda nje kujaribu kujisafisha kwamba yeye ni tofauti ya JPM lakini wengine twaona kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha juu kwani hata Biden bado hakuamini hiyo "notion".

Na hata Boris hataonyesha waziwazi kwamba anaamini mwelekeo wa mama kwani bado wanamtathmini.

Nimejifunza siku nyingi kwamba nchi yetu ni maskini wa kila kitu akili, kufikiri na wananchi wake walo wengi ni wapumbavu na wasojitambua.

Ila ndo hivyo tena waziri mkuu ameanza kampeni ya 2025 na anasafisha njia kwa mama ili kazi ya kushinda bila kupingwa iwe rahisi.

"Shame to all those bunch of crooks who are currently screwing up our country".

Wake up Tanzania!!
Mzee Madevu ni nani

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
VP naye aliponea chupu chupu. May be hata huo u VP kapewa bcoz he know something!
Kuna vitu vinashangaza sana. Wale waliokuwa wanavujisha mambo ya serikali, ikulu sasa hivi wametulia.

Walikuwa wanafanya vile kwa maslahi ya umma au kimkakati zaidi?

Kinachoshangaza maamuzi haya wanayoyaponda ni wao pia walikuwa na mchango mkubwa kuyapitisha, kuyapigia debe, kusifia.

Kama hawakuwa wanakubaliana nayo, wangejiuzulu.

Unakubali vitu kadhaa baadaye unaanza kuponda kila kitu ulichokubali.

Hii inaonyesha unafiki, hawana misimamo, waoga, wanayumba, hawaaminiki, hawako makini, hawawajibiki, hawajui maana ya serikali na collective responsibility.
 
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.

Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.

Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.

Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Kwetu sisi wazee wa madini huyu ndiye aliyetufumbua macho na kuelewa kwamba kumbe makinikia ndiyo yana dhahabu nyingi zaidi ya dhahabu ya awali. Zamani ilikuwa tuona ni uchafu tu.
RIP JPM
 
Alikuwa na kasoro zake, mapungufu ya kibinadamu na kuna vitu alikosea.

Alisimama, alikuwa msimamo na na alisimamia yale aliyoyaamini. Alikuwa na msimamo thabiti, usiyoyumba.

Masoko ya madini nchi nzima, haki kwa wachimbaji wadogo wadogo, kuhakikisha hatuibiwi madini yetu. Mapato kwa serikali kupitia sekta ya madini yameongezeka maradufu.

Mamilioni ya watoto wa walalahoi wameenda shule, kwa miaka mitano zaidi ya watoto milioni kumi.

Umeme (Stigler gorge), barabara nchi nzima, kufufua reli ya kati, reli ya SGR, maji, hospitali, shule, kupunguza rushwa serikalini, unanijua mimi ni nani ikaisha?

Aliweka misingi ya kimkakati kulisaidia hili taifa kwa miaka 50 ijayo.

Muhimu zaidi aliwafanya Watanzania wengi wajitambue, wajiamini, wafikirie zaidi kujitegemea, kulinda na kutumia rasilimali zao vizuri kwa faida ya wengi sio rasilimali za nchi kuchukuliwa na kikundi, watu wachache.
 
Back
Top Bottom