kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
-
- #21
GGM (Geita Gold Mine) wana Benz fln hv nadhan ni Actros ile, ila hadi leo wakitaka kurepair wanaletwa majamaa kutoka CFAO Motors coz ndo dealer wa benz hapa TZ.Aaah okay kuna jamaa niliwahi kuona pale TBL mwanza wana repair BENZ za hapo kwahiyo wanakuwa ni kampuni kabisa ambayo mafundi wake wana utaalamu nazo?
Kweli zina Kunguni Sai baba Lina Kunguni ,Kuna scania makini ila bongo hazipo sana nadhan kwa sababu ya bei. Za huku nyingi old model, matunzo zero, gari ndani hadi ina kunguni
BedfordKama mtu ambaye anataka kununua Lory lake la kwanza used unaweza kumshauri anunue brand gani?
HOWO babaKama mtu ambaye anataka kununua Lory lake la kwanza used unaweza kumshauri anunue brand gani?
Anasema regional routes.HOWO baba
Okay nawafahamu CFAO motors.GGM (Geita Gold Mine) wana Benz fln hv nadhan ni Actros ile, ila hadi leo wakitaka kurepair wanaletwa majamaa kutoka CFAO Motors coz ndo dealer wa benz hapa TZ.
So utaona mara nyingi kama sio dealer basi ni wataalam walospecialize na benz, na hao CFAO huwa wana ratiba ya kutoa mafunzo kwa mafundi mbalimbali almost kila mwaka
Howo used?HOWO baba
Nazikubali DAFKama mtu ambaye anataka kununua Lory lake la kwanza used unaweza kumshauri anunue brand gani?
Kama unataka Rigid truck(Kipisi) Chukua Scania 94D au P94 zenye 310hp.Regional mkuu.
Na pia hzohzo kupiga shoti gari nzima sio kitu cha ajabu, umesahau hiloMkuu Scania series ipi au generation ipi imekaa rough kwenye wire.
Hiyo Scania kuanzia Series 3&4 ndio truck ambayo fundi yoyote hapa Tanzania anajifunzia ufundi na mafundi wamejaa hata uende Namtumbo,Namanyele,Sikonge,Nyakanazi hazijawahi kuwa pasua kichwa kama Daf au Iveco Stralis
Sikatai scania ni kama toyota kwa magari makubwa.Scania tangu zamani wamekuwa wakitoa training kwa madereva na mafundi.
Scania kama Toyota spea kibao mafundi mpaka chini ya msufi/mwembe
Asante kwa ushauri mzuri, ila MAN Diesel trucks naona kama bongo hawajazichangamkia sana.Kama unataka Rigid truck(Kipisi) Chukua Scania 94D au P94 zenye 310hp.
Kama unataka tractor truck chukua Scania used za South G410 & 114L au R420 hizi zote ni 6*4 na Man Diesel trucks kwa route za Regional. Scania Ex Uk na Ireland kwa bajeti ya kawaida zinakuwa na high mileage na nyingi zina axle configuration ya 4*2 ambapo utatakiwa uje ufanye modification upate 6*2 uongeze axle moja ambayo ni dead axle au tag axle ili ubebe mzigo vizuri
Saizi zimeongezeka mkuu na dealer wake Tanzania yupo Tabata Mobikey Trucks, ila kuna spare utozipata kwa wengine mpaka urudi pale kwao.Asante kwa ushauri mzuri, ila MAN Diesel trucks naona kama bongo hawajazichangamkia sana.
Nasikia hata wanaojenga SGR wanatumia sana MAN, kama wakimaliza wakaziuza humuhumu TZ inaweza kuwa entry point nzr kwa mtu mwenye mtajiSaizi zimeongezeka mkuu na dealer wake Tanzania yupo Tabata Mobikey Trucks, ila kuna spare utozipata kwa wengine mpaka urudi pale kwao.
Kama hujali maneno ya watu Scania ndio truck ambayo haina complication na sawa na Toyota, Spare kila kona ukitaka Used zimejaa Tabata,Temeke Mwisho na Ilala kuna madealer kibao na maduka ya Amana Spare parts kila mikoa wanauza spare zake. Man Diesel ni truck imara miaka michache mbele spare zitazagaa ila bei haitokuwa sawa na Scania
Ndio, Mo alinunua horse kibao za mtumba za Man, Dollow Boy anazo kibao zinavuta trailer ya Tipper za makaa ya mawe. Wengine walivuta used na mpya hapo Mobikey na nyingine used zimeuzwa na Lawexport na Abbas Truck UKNasikia hata wanaojenga SGR wanatumia sana MAN, kama wakimaliza wakaziuza humuhumu TZ inaweza kuwa entry point nzr kwa mtu mwenye mtaji