kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
- #21
GGM (Geita Gold Mine) wana Benz fln hv nadhan ni Actros ile, ila hadi leo wakitaka kurepair wanaletwa majamaa kutoka CFAO Motors coz ndo dealer wa benz hapa TZ.Aaah okay kuna jamaa niliwahi kuona pale TBL mwanza wana repair BENZ za hapo kwahiyo wanakuwa ni kampuni kabisa ambayo mafundi wake wana utaalamu nazo?
So utaona mara nyingi kama sio dealer basi ni wataalam walospecialize na benz, na hao CFAO huwa wana ratiba ya kutoa mafunzo kwa mafundi mbalimbali almost kila mwaka