Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

Kuna howo used za bei nafuu ya kitanzania?
Kama wataka Howo Used usichukue kutoka China, zinakuwa na hali isiyoridhisha wana refurbish kuanzia body mpaka Engine, La sivyo upate dealer muaminifu akupe condition sahihi.

S.Africa wachina wanaplant ya Howo kule bei ipo chini na zipo kwenye condition nzuri
 
Man Diesel ni gari bora sana ila nimeona ikianza kusumbua ni kichefuchefu kuliko Scania ingawaje kwa uimara na nguvu Man Diesel ni habari nyingine shida ni matunzo inataka sana ufate kanuni zake na dereva awe anajua gari inapotaka kitu chochote ashughulikie haraka tofauti na Scania...kwa Tanzania Scania ipo sawa tu iwe 124,R420 hata hizi V 8 usizikimbie ni gari kweli hazina usumbufu usumbufu....sema ina matatizo ya umeme sana Scania kama mdau alivyochangia na kuanza upya kawaida tuu ingawaje vijana wanajua kwa kuanzia ili gari iendelee na Safari..
 
Mkuu ratiba yao ya training inaanzaga mwezi upi na utaratibu unakuaje mtu kujiandikisha ??
Asante
 
Mkuu kama kuna kitu napenda basi nkujua mifumo ya sensor na gear shifter kwenye hizi chuma


Gari Inaanza kuondoka gear sinaingia but how? Ile process yaku shift gear
 

Ni mazoea, uwezo na uelewa, katika maisha yangu yote, gari ambazo nimetumia ukicha 1HZ Mkongs, ni:

  • aud
  • bmw
  • mitsubishi
  • landrover..

Ni gari nzuri na hazisumbui ukizijulia, ila mpaka mafundi wanazilalamikia, kwa nini, mazoea tu.

Kila kitu ukikijua ni friendly tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…