Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Mwenyewe nachezaga uchi nikiwa peke angu, nikishapiga vitu vyangu, nawasha Sound bar yangu 1000W, basi utafikiri funia yangu yotee...

Acha kuwa kama roboti...
Furahia maisha kabla ya corona haijakubeba fala wewe
 
Unaishi na chizi
 
Issue sio uchi wake..issue kubwa ni kukatika mauno uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo.
Sasa tatizo liko wapi hapo ..mtu asituarahie maumbile yake' !? [emoji3][emoji3]
 
Mfuatilie kwa karibu sana huyo anaweza akawa na mengi anafanya ukiwa haupo
 
Isije ikawa pembeni aliweka camera.....
Ili baada airushe kwa mwana/baharia
 
i know its strange. haswa kama hujawah kumkuta akifanya hiko kitu before.
so the best way ni kumuuliza kulikoni. hawa wanawake hawaeleweki sometimes man
Ni kawaida sana, na wewe ukimkuta wako anafanya hivyo wala usishangae..
Very normal.
 
Ulichelewa hukumkuta anavyojiangalia papuchi?
 
i am interested. why mnafanya hiyo kitu?
Kwakwel hata sijui, unajikuta tuu una-admire unavyojiona unakatika kwenye kioo, somehow satisfying especially kama unajikubali.
Au you can pretend uko na mtu wako then unafanya vile unamfanyia au kufanya in general then just laughing to yourself saying kumbe ndio ananionaga hivii.. basi tuu yani.
 
Nitumie namba zake nimfanyie uchunguzi kama ni chizi au laa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…