likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
We ungeweza kuvumilia,huyo asikuumize kichwa fikiria maisha yako.
Uko sawa mambo madogo hayaNaww nenda kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzio anakwambia hapati usingizi halafu wewe unamdhihaki, aaamkuu
Wewee Jaamaa umenifanya nicheke kwa sautiiNaww nenda kwenu
Akichoka Arudi kwa naniiPole sana mwanajf mwenzangu!
Sijui mlikuwa na ugimvi kabla ya yeye kutoroka kama upo wala usiumie tafuta namna ya kumpata na kusolve lakini kama kaondoka kwa sababu zake binafsi mwache aende atarudi akichoka
Huwenda mna ugomvi mkubwa, lakini lazima angerudi kwao au kwa ndugu zake, hapo akili kichwani.Pesa niliacha na hakuchukua hata sent yangu.
Kama hakuchukua pesa ni ishara kuna ugomvi mkubwa na wewe ndiwe mkorofi, jirekebishe kwa kila unalomkwaza mwenzako. Usitumie ubabe, usimnyanyase, usimsimange, huyo ni ubavu wako wa pili.Kuna namna unawajibika katika hili, inaonekana hata wazazi wake na ndugu zake hawakupi ushirikiano, lazima unaangukia kati ya hivi vifuatavyo:
- Wewe bahili sana na humjali.
- Maisha magumu sana na imekuwa ngumu kumtimizia maitaji.
- U mgovi sana, umekuwa unamsulubu mtoto wa watu vibaya.
- Wewe ni muhuni sasa, kashindwa kukaa!
Kama haya yote sio sahihi, niambie then nitakushauri, ila sidhani!
Hivi unafahamu ulichokiandika hapa? Hujakutwa na haya mambo mkuu bora ukae kimyaMkuu mtwara upo sehemu gani Kuna Bar pale maeneo ya nangwanda inaitwa shooters, kesho Kuna Manchester united vs Manchester City saa 1 usiku, tujumuike pale pamoja Kupata ulabuu mkeo kwa kifupi tuu anatafuniwa Sasa na hii hali ya hewa za mvua mvua na anatafunwa huko alipo.