Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hunakosa heshima kwa mwenzako,yupo kipindi kigumu sana mfariji kwa maneno ya upendo,amekuja huku ili acheue,Naww nenda kwenu
Nafanya kazi mbali na ninapoishi kwa hiyo huwa ninalala huko ninakofanyia kazi ambako nimepanga chumba cha dharula.Siku ya jtano wiki hii niliagana na mke wangu kuwa naelekea kazini na nitarudi siku ya alhamisi au ijumaa akaitikia na tukaagana vizuri. Mshtuko wa moyo nilioupata ni pale nilipojisikia kurudi siku ya pili yake yaani alhamisi baada ya kugonga mlango kwa muda bila majibu nikaamua niulize jirani aliko mke wangu,najibiwa jana ulipoondoka mkeo nae kasafiri ila funguo hizi hapa..!.Nilihisi kuishiwa nguvu lakini nilijikaza nikachukua ufunguo taratibu nikaingia ndani kiukweli sijaamini macho yangu hakukua na kitu chake hata kimoja zaidi ya kuniachia picha za ndoa. Nimeumia sana na huo ulikuwa mwisho wa kupata usingizi hadi sasa. Nimempigia simu lakini haipatkani,ndugu zake hawajui yuko wapi ila leo hii jumamosi mpangaji mmoja kanionea huruma kaniambia aliongea na mke wangu siku ya alhamisi jioni na alimfahamisha kuwa anakaribia kufika kwao Chamwino Dodoma akitokea kwetu Mtwara. Lakini kwao nikiuliza naambiwa haonekani na simu hapatikani,sijui cha kufanya kwani ni mke wangu wa ndoa lakini amenitoroka. Naombeni mnishauri nini nifanye kwa kuwa suala hili limevuruga kichwa changu. Mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa jioni alhamisi kwa kumsms kupitia private Facebook nikamuuliza uko wapi? Akanijibu kwa kifupi "my lovely husband ".Mpaka sasa simpati kwa simu.
Yapo mambo tulikuwa tunatofautiana lakini huwa tunakaa sawa.Hiyo siku aliyoondoka hatukuwa na ugomvi kama sikosei.Kuna namna unawajibika katika hili, inaonekana hata wazazi wake na ndugu zake hawakupi ushirikiano, lazima unaangukia kati ya hivi vifuatavyo:
- Wewe bahili sana na humjali.
- Maisha magumu sana na imekuwa ngumu kumtimizia maitaji.
- U mgovi sana, umekuwa unamsulubu mtoto wa watu vibaya.
- Wewe ni muhuni sasa, kashindwa kukaa!
Kama haya yote sio sahihi, niambie then nitakushauri, ila sidhani!
Mkuu Fanya kama sadaka hawa viumbe hawana shukran utambeba unavyombeba mwisho wa siku anakukimbia ndio hao kwa manung'uniko yako wanakutwa wamechinjwa kwenye mapagale na watu wasiojulikana.Nafanya kazi mbali na ninapoishi kwa hiyo huwa ninalala huko ninakofanyia kazi ambako nimepanga chumba cha dharula.Siku ya jtano wiki hii niliagana na mke wangu kuwa naelekea kazini na nitarudi siku ya alhamisi au ijumaa akaitikia na tukaagana vizuri. Mshtuko wa moyo nilioupata ni pale nilipojisikia kurudi siku ya pili yake yaani alhamisi baada ya kugonga mlango kwa muda bila majibu nikaamua niulize jirani aliko mke wangu,najibiwa jana ulipoondoka mkeo nae kasafiri ila funguo hizi hapa..!.Nilihisi kuishiwa nguvu lakini nilijikaza nikachukua ufunguo taratibu nikaingia ndani kiukweli sijaamini macho yangu hakukua na kitu chake hata kimoja zaidi ya kuniachia picha za ndoa. Nimeumia sana na huo ulikuwa mwisho wa kupata usingizi hadi sasa. Nimempigia simu lakini haipatkani,ndugu zake hawajui yuko wapi ila leo hii jumamosi mpangaji mmoja kanionea huruma kaniambia aliongea na mke wangu siku ya alhamisi jioni na alimfahamisha kuwa anakaribia kufika kwao Chamwino Dodoma akitokea kwetu Mtwara. Lakini kwao nikiuliza naambiwa haonekani na simu hapatikani,sijui cha kufanya kwani ni mke wangu wa ndoa lakini amenitoroka. Naombeni mnishauri nini nifanye kwa kuwa suala hili limevuruga kichwa changu. Mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa jioni alhamisi kwa kumsms kupitia private Facebook nikamuuliza uko wapi? Akanijibu kwa kifupi "my lovely husband ".Mpaka sasa simpati kwa simu.
Mkuu,umenivunja mbavu sana!Dodoma, Chamwino zipo mbili, kule ikulu ambako ni kwa wagogo na Ile ya mjini ambayo wamejaa warangi, kama ni mrangi huyo atarudi, Ila ujiandae kukaaaa, kama ni mgogo huyo sahau kesha olewa teyari