Nimerudi salama-Niliwamiss sana

Status
Not open for further replies.
Kiranga jibu swali langu; unaijua mipango yote ya regia?

Mimi "natabiri" kwamba atakuwa 'amelala' sasa ndo maana hilo swali halioni...au inawezekana pia kuona huku ukiwa umelala?
 
Wivu wa kike mbaya sana maana unabomoa

Haya ni matusi kwa watu wake (wakike) wote duniani, pamoja na huyo mnayemshabikia Regia Mtema.

Kama mna punje ya maadili mtawaomba radhi.
 
NI KWELI MKKUU... MIE MPAMBE WAKE

tunakutana leo kupanga upambe zaidi, tukiona mifuko haitoshi tutamuomba aamue, lakini so far nam-encourage hivyo kwani kuna options za sapoti ambazo tayari ziko on papaer

ni translation from papers ndiyo tunayosubiri
 
Mimi "natabiri" kwamba atakuwa 'amelala' sasa ndo maana hilo swali halioni...au inawezekana pia kuona huku ukiwa umelala?

Uliyelala ni wewe ambaye hujaona jibu nililotoa kitambo kabla ya post yako. Hapa mwendo wa vita kama Napoleon, hamna kulala usawa huu.
 
Sawa sawa,

Siwezi kujua mipango ya Regia, kwa sababu so far anaonekana hana mipango. Mtu mwenye mipango anaweza kutoa vipost kama vya Regia ?

Haya ni matusi kwa watu wake wote duniani, pamoja na huyo mnayemshabikia Regia Mtema.

Kama mna punje ya maadili mtawaomba radhi.

wakati mwingine mtu unapata shida kuelewa, labda kwa sababu ya uelewa mdogo, lakini hili la maadili na kuomba radhi hapa nani aanze? :nono::nono:
 
Pamoja na matokeo kwenda tofauti na matazamio yako na ya wapigakura wako songa mbele kwani naamini utakuwa mbunge kupitia viti maalum vya kina mama. Ukipata hiyo nafasi akikisha huyo aliyetangazwa mshindi unamfunika bungeni kwa kutoa michango yenye manufaa kwa taifa hili. Kawathibitishie wapiga kura wako kuwa wewe uko juu
 
Kakwambia haendi tena??

Hakuna yeyote aliyesema chochote kuhusu kuwa hataenda au ataenda tena. Naongelea primary domicile hapa, unaelewa primary domicile ni nini ?
 
Uliyelala ni wewe ambaye hujaona jibu nililotoa kitambo kabla ya post yako. Hapa mwendo wa vita kama Napoleon, hamna kulala usawa huu.

hahaha ni kweli 'nililala'....na nililazwa kwa teknolojia, sasa pia kuna kulala kwa kushindwa kujua kwamba wakati napost (hata sasa hivi) kuna uwezekano wa kwamba post nyingine imerushwa na nikaiona baada ya kuwa nimerusha hii.....
 
wakati mwingine mtu unapata shida kuelewa, labda kwa sababu ya uelewa mdogo, lakini hili la maadili na kuomba radhi hapa nani aanze? :nono::nono:

Aliyewatusi binadamu wa kike wote duniani kwamba ni viumbe wenye wivu inherently.
 
Ntarudi baadae kidogo maana nimechoka ku post kutumia simu
 
hahaha ni kweli 'nililala'....na nililazwa kwa teknolojia, sasa pia kuna kulala kwa kushindwa kujua kwamba wakati napost (hata sasa hivi) kuna uwezekano wa kwamba post nyingine imerushwa na nikaiona baada ya kuwa nimerusha hii.....

Amka basi,

Na kabla ya kukurupuka kwamba wenzako wamelala, nawa uso, toa tongotongo, fanya research na kuhakiki kwamba wamelala kweli.

Isije kuwa wewe ndiye uliyelala unaota wenzako wamelala, wakati wenzako wako macho wanaku sanif tu.
 
wakati mwingine mtu unapata shida kuelewa, labda kwa sababu ya uelewa mdogo, lakini hili la maadili na kuomba radhi hapa nani aanze? :nono::nono:

Hivi kuwa na wivu wa kike kwa mwanamke ni tusi? Nikimwambia Regia, ambaye ni mwanamke kuwa ana wivu wa kike ni tusi kwake? Ebo!!
 
pOLE NA hONGERA SANA!
 
Hakuna yeyote aliyesema chochote kuhusu kuwa hataenda au ataenda tena. Naongelea primary domicile hapa, unaelewa primary domicile ni nini ?

Sasa hilo ndilo laweza kuwa tusi.
 
hahaha ni kweli 'nililala'....na nililazwa kwa teknolojia, sasa pia kuna kulala kwa kushindwa kujua kwamba wakati napost (hata sasa hivi) kuna uwezekano wa kwamba post nyingine imerushwa na nikaiona baada ya kuwa nimerusha hii.....
Jamani, wachaneni na KADA wa ubishi, wengine hawa wamejiajiri kuonyesha kuwa wako daima tofauti na BINADAMU!
cHA MSINGI HAPA NI KUMPA MOYO DADA YETU, NA NIMEONA WATU WANAONGELEA kuhusu mjumuiko mahala...ndiyo cha maana kwa sasa, najua atapata ushauri wa aina tofauti tofauti sana akikutana na watu, especially wa hapa JF(ONGEA NA WATU UPATE VIATU)!.Mambo ya kukaa kwenye box na kubishia kila hoja ni ukoloni!...Nadhani huyu jamaa yetu anabishana usiku kucha na mke na watoto wake pia...what a hell!
 
Mkuu nadhani anamaanisha kurudi hapa jamvini na si kukimbia kutoka Kilombero....TUMSIMHUKUMU BALI TUMSAIDIE na kumpa moyo ajipange upya
 
Kama atakuwa ameoa. Si ndio?
 
Jamani on a serious note, naomba na mi niungane na waungwana wengine kukmaribisha tena hapa jamvini Mh Regia Mtema, nimpe pole na pongezi kwa kupambana vilivyo lakini zaidi kwa kuonyesha kuwa anaweza kuchallenge the status quo......

Karibu sana

By the way NN FYI calabash pale yupo FLORA, muulize big braza ODM akupe 'habari yake'
 
NN amevuka lengo...Hata Diana anamjua achilia mbali Viki.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…