Nimerudi salama-Niliwamiss sana

Nimerudi salama-Niliwamiss sana

Status
Not open for further replies.
Regia hajaenda Bahamas na Regia si fisadi. Mafisadi ni wabadhirifu wa fedha na mali na rasilimali za umma. Regia hayuko kwenye hiyo nafasi ya kuweza kuwa fisadi.

Regia kawakacha wana Kilombero? Ndivyo walivyokwambia hivyo au tena unasadiki?

Umejawa namadharau kupita kiasi!!!! Hujui mipango yake lakini unatoa hukumu kulingana na post zake za hapa. Au umemwuliza ukaongea naye kwa mapana na marefu kuhusu hiyo mipango yake na ukaona kuwa hana mipango?

Ingekuwa hivyo wala hata asingethubutu kuweka jina lake na familia yake kwenye mstari wa mbele ambako kuna kila aina ya visanga vikiwemo kejeli na dharau toka kwa watu kama wewe. Kajitosa, kagombea na haikwenda kama ilivyotarajiriwa kutokana na sababu mbalimbali za dhuluma halafu wewe unadiriki kusema anasubiri huruma za grand poobahs wa CHADEMA. Hapa mwombe radhi.

NN mbona unamtetea hivyo Regia, wivu unanisumbua tu hapa, hivi unajua nakupendaga sana, punguza basi kidogo
 
Jamani on a serious note, naomba na mi niungane na waungwana wengine kukmaribisha tena hapa jamvini Mh Regia Mtema, nimpe pole na pongezi kwa kupambana vilivyo lakini zaidi kwa kuonyesha kuwa anaweza kuchallenge the status quo......

Karibu sana

By the way NN FYI calabash pale yupo FLORA, muulize big braza ODM akupe 'habari yake'

Yatosha kamanda. Kiranga kashakuelewa na kashaingia mitini......

Haya mimi nipo hapa Tegeta kwa Ndevu.....karibu supu ya tetere...
 
NN mbona unamtetea hivyo Regia, wivu unanisumbua tu hapa, hivi unajua nakupendaga sana, punguza basi kidogo

Halafu wewe.....hebu njoo kule chemba bana....mbona uko invisible leo? Unachat na nani au unamkwepa nani?
 
Napenda kuwaambia kuwa nimerudi salama toka Kilombero,nimepambana kadiri ya uwezo wangu na kufika hapa nilipofika.namshukuru MUNGU niko salama kabisa na nitaendelea kuvinjari kwenye jukwaa letu pendwa la urafiki na mapenzi.

Kama una ushahidi wa kuibiwa kura usiwachie hawa jamaa wa CCM kwani ukifanya hivyo utawapa kiburi cha kuendelea na dhuluma............................................................................wapeleke mahakamani tu na huko ukweli ujulikane................
 
Reggia mimi na watu woote wa Mlabani tunasema...

thank-you-bodies.jpg
 
Dada Regia,
Karibu nyumbani JF, Pole na Kazi ngumu, uchaguzi umeisha , mwisho wa uchaguzi huu ndiyo mwanzo wa uchaguzi mwingine, Angalia kwenye mapungufu ya hapa na Pale Ili urekebishe na mahali unapohitaji Support tupo tutakusupport. Jiandae kwa uchaguzi mwingine.
 
Hii concept nzima ya "kurudi" kutoka Kilombero mimi napata tabu nayo sana. Inaonekana Kilombero -pamoja na majimbo mengine ya vijijini- ni sehemu za kwenda wakati wa uchaguzi tu, uchaguzi ukiisha watu wanarudi kwenye shughuli zao za kawaida mijini.

Badala ya wagombea walioshindwa mwaka huu kubaki huko vijijini kuimarisha vyama vya upinzani, kuisadidia jamii pamoja na kupanga mikakati ya kushinda hivi viti katika uchaguzi ujao, tunaona increasingly "wanarudi" mijini.

Wapinzani wakiendelea kushindwa katika kila chaguzi zijazo watashangaa kweli kwa mwendo huu wa kwenda majimboni nyakati za chaguzi tu, na chaguzi zikiisha wanarudi mijini kwenye mitandao na urahisi wa maisha ?

Tunawatendea haki wananchi kweli kwa mwenendo huu ?

Hata hao CCM pia wanaishi mijini. Akina Chenge. Karamagi, Nchimbi, Rostam na wengineo uwajuao wote wanaishi mijini. Huko majimboni kinachoweza kufanyika ni kujenga ofisi ya chama ya Wilaya au hata ya Kata na kuweka viongozi wa chama ambao wanaishi pale. Ndivyo mfumo wetu wa maisha ulivyo hapa Tanzania. Kwa hiyo unaposema wapinzani hawawezi kushinda kwa kuwa wanakwenda vijijini wakati wa uchaguzi tu, sio kweli.
 
Hawije Mhaja wangu, sha ludami? Mndamba kadeta " Tili vandu Mulungu kapatali, na nenga ngukuwombela kotokuleleka ludami lweyunzili, kotukwivasuha kaya, paupata nafasi yendi kaya kavajambushi, kavashukuru kwa yonda na vawombeli nenga mwanawenu na aku kayangu.

Karibu Dada, elewa wewe sasa ndie mwenye jukumu la kuiimarisha Kilombero-Ulanga Magh, nina sababu zangu za msingi za kukuona wewe ndie mwanga na taa yenye tumaini jipya ktk eneo hilo. Tembelea sana eneo hilo, jipambanue, nenda kila mara kawape semina madiwani wako, watu wanataka kuona mabadiliko katika namna ya kuwawakilisha wananchi, ktk nafasi yoyote uliyopo na utakayokuwepo always Home is best and to you Home is kilombero-Ulanga Magharibi Regia,

Twijange,Twijangeex2 Twijange nakakaa..........
Karibu na tutaonana kwa mashauriano na kufahamiana The Great daughter of River Kilombero a.k.a Mnyela
 
Huyu si ndo alikudangaya anakaa mwananyamala kumbe ni jirani yake Papa Benedict wa kumi na sita?

Ndo huyu huyu.....lakini nimeongea naye kwa mdomo na nimethibitisha kuwa si yeye aliyekuwa anazungumziwa. Just a case of mistaken identity.....
 
Regia...........I salute you. Thats all I can say for now

Karibu tena
 
Ndo huyu huyu.....lakini nimeongea naye kwa mdomo na nimethibitisha kuwa si yeye aliyekuwa anazungumziwa. Just a case of mistaken identity.....

Kwahiyo yule kijana alikuwa anajipa maujiko kiaina. Au alikuwa anamaanisha Roma ya Tandale Uzuri?
 
Kwahiyo yule kijana alikuwa anajipa maujiko kiaina. Au alikuwa anamaanisha Roma ya Tandale Uzuri?

Usiwe na shaka....Kate ni a whole lotta woman.....niaminie kamanda....siwezi kukupotosha mimi honorary member wa ISC
 
Sawa sawa,

Lakini kina Simon Mbilinyi walivyoenda kupumzika Bahamas wakati constituencies zao zinaishi maisha ya dola moja kwa siku huko tuliwaita mafisadi, Regia leo anapata pass kwa sababu gani? Kwa sababu CHADEMA ?

Kama unajua kwamba kulitumikia taifa ni zaidi ya siasa ungeshangaa Regia kuwakacha wananchi wa Kilombero wiki moja tu baada ya uchaguzi.

Siwezi kujua mipango ya Regia, kwa sababu so far anaonekana hana mipango. Mtu mwenye mipango anaweza kutoa vipost kama vya Regia ?

Anasubiri huruma za party bigwigs wampe kiti maalum tu bungeni, we unafikiri kurudi haraka mjini kuna sababu ndogo ?

Sasa hii siyo ndiyo kwenda personal, jaribu basi kuwa gentleman hata kwa leo tu! Hizo unazoita "Vipost kama vya Regia" imekuwa assessed na nani? sikujua kama siku hizi JF kuna rating ya post!

Otherwise bro! unabehave ndivyo sivyo unakuwa kama wale watu waliokaa sana kijijini kule bongo (Not by choice but by circumstances) wakaja huku mtoni kwa skolashipu, which is not an issue, lakini inakuwa issue wanapoanza kufikiri wao ndiyo wajanja kuliko mtu mwingine yeyote!

To you Regia could be sounding just some person but to most of us she's a heroin, siyo lazima aimbwe au aandikwe kwenye insiklopidia!!
 
Hawije Mhaja wangu, sha ludami? Mndamba kadeta " Tili vandu Mulungu kapatali, na nenga ngukuwombela kotokuleleka ludami lweyunzili, kotukwivasuha kaya, paupata nafasi yendi kaya kavajambushi, kavashukuru kwa yonda na vawombeli nenga mwanawenu na aku kayangu.

Karibu Dada, elewa wewe sasa ndie mwenye jukumu la kuiimarisha Kilombero-Ulanga Magh, nina sababu zangu za msingi za kukuona wewe ndie mwanga na taa yenye tumaini jipya ktk eneo hilo. Tembelea sana eneo hilo, jipambanue, nenda kila mara kawape semina madiwani wako, watu wanataka kuona mabadiliko katika namna ya kuwawakilisha wananchi, ktk nafasi yoyote uliyopo na utakayokuwepo always Home is best and to you Home is kilombero-Ulanga Magharibi Regia,

Twijange,Twijangeex2 Twijange nakakaa..........
Karibu na tutaonana kwa mashauriano na kufahamiana The Great daughter of River Kilombero a.k.a Mnyela

Hawije mlongo, kweli wewe wa kwetu, manake hicho ulichokipiga ni cha ndani kabisa, itabidi niku-PM kwa mazungumzo zaidi. Otherwise, umetoa ujumbe mzuri kwa Regia.
 
Usiwe na shaka....Kate ni a whole lotta woman.....niaminie kamanda....siwezi kukupotosha mimi honorary member wa ISC

This useful post deserves this.......

The Following User Says Thank You to Nyani Ngabu For This Useful Post:
Asprin (Today
)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom