katelero
JF-Expert Member
- May 31, 2010
- 529
- 84
Regia hajaenda Bahamas na Regia si fisadi. Mafisadi ni wabadhirifu wa fedha na mali na rasilimali za umma. Regia hayuko kwenye hiyo nafasi ya kuweza kuwa fisadi.
Regia kawakacha wana Kilombero? Ndivyo walivyokwambia hivyo au tena unasadiki?
Umejawa namadharau kupita kiasi!!!! Hujui mipango yake lakini unatoa hukumu kulingana na post zake za hapa. Au umemwuliza ukaongea naye kwa mapana na marefu kuhusu hiyo mipango yake na ukaona kuwa hana mipango?
Ingekuwa hivyo wala hata asingethubutu kuweka jina lake na familia yake kwenye mstari wa mbele ambako kuna kila aina ya visanga vikiwemo kejeli na dharau toka kwa watu kama wewe. Kajitosa, kagombea na haikwenda kama ilivyotarajiriwa kutokana na sababu mbalimbali za dhuluma halafu wewe unadiriki kusema anasubiri huruma za grand poobahs wa CHADEMA. Hapa mwombe radhi.
NN mbona unamtetea hivyo Regia, wivu unanisumbua tu hapa, hivi unajua nakupendaga sana, punguza basi kidogo