nimerudishiwa pesa yangu na DSTV, je naweza itoa kama cash?

nimerudishiwa pesa yangu na DSTV, je naweza itoa kama cash?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
wiki 3 zilizopita nilinunua kifurushi dstv lakini decoder ilikua mbovu Leo nikaomba kunihamishia mwamala wangu na wamenipa, sasa nauliza je, naweza itoa kama fedha kesh? au inatolewa vip? asanteni.
Nb kwa sasa nilinunua decoda mpya nilisha lipia ko wamehamishia katika hii decoda mpya
 

Attachments

  • Screenshot_20250523_161033_MyDStv.jpg
    Screenshot_20250523_161033_MyDStv.jpg
    151.7 KB · Views: 32
Back
Top Bottom