Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

Wewe ulifahamu vipi kuwa wanakwepa kodi? Isije ikawa umeisaidia serikali kukwapua. Usisahau kuwa hii nchi unalipa kodi kabla hujatengeneza faida, unaikusanyia serikali mapato ya VAT mwaka mzima bila malipo na ukichelewa unapigwa faini.
 
Hizi Comments za kumdiss mtoa mada ndio uhalisia hasa unaoutofautisha Watanzania na Mataifa makubwa,Wenzetu wameendelea kutoka na kila mtu kuiwajibikia nchi yake regardless na wanachokifanya wanasiasa,

Tatizo letu kubwa wengi wetu tunafikiria zaidi kuiba na kujineemesha katika kila Ajira au Kujiajiri,

Tutakapobadilisha mindset zetu na kuona kila mtu ana haki na wajibu katika kila namna kuilinda nchi yetu hakika tutapiga hatua,

Nakupa hongera mtoa mada na wengineo wenye Akili kama zako,
 
Wewe ulipoozwa kiasi gani,baada ya kuokoa kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ