Nimesamehe lakini sitasahau

Nimesamehe lakini sitasahau

Ushauri wangu kwako mtoto anakutambua kama babaake lakini sio babaake,aliyekua mkeo anapaswa ajue hilo,Mlipie mtoto kiasi kidogo kwenye account ya shule uwe umetenda wema tu na sio wajibu wako,huo ni utu kwa kumtumia mama yake kwa kipindi chote.Swala la pili mtafute joka jeusi akushauri!JOKA JEUSII NJOOO UNAITWA NA NDUGU YAKO HUKU!
 
Mtoto wake na mwanaume wake then anakuomba ada wewe.

Mkuu kama unapesa kuna watoto yatima kibao hawana wa kuwasomesha chukua mmoja peleka shule
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Mkuu kama umeamua kumpotezea ww endelea kumpototezea tu , ameshakuona ww ni fall.a ndio maana anazidi kukuletea ufal.a tu
 
Pole mwaya ndio mambo ya dunia.
Tunaposikia mke na mume wamekunywa juice ya sumu na kufa wote muda mwingine hua ni hivi. Wewe umempenda sana huyo mwanamke na sio dhambi. Hata sie kuna watu tunawapenda na hua tunawapa second chances tukijua watabadilika, hauko peke yako.

Kama una uwezo wa kumsomesha mtoto msomeshe tu maana mtoto anakutambua wewe kama baba yake. Ila huyo mwanamke mpotezee tu fanya kama mapito ya mwanadamu basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]hapana asee....kwa hizo jeuri za mama yake

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Ungekuwa karibu ningekuchapa kofi mbili za fasta. Kwa kifupi hauna akili hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa

UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"

HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA

[emoji116][emoji116]
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa

[emoji116]

Dubwasha.... Halo

Robert ......Halo mambo

Dubwasha.... Poa my zasiku

Robert .... Nzuri tu ,niambie

Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule

Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh

Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache

Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee[emoji23][emoji23][emoji23]) ..........

Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi[emoji23][emoji23][emoji23])

Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya

[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.[emoji23]

[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.

[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.

[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .

[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.

[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)

[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.

[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.

Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...

ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
Aisee!
 
Safari yako imekuwa ngumu na fupi sana hapa Love Connect :

1. Hapa unatafuta mke

2. Hapa ukaleta mrejesho

3. Nawe ukaanza na kutoa ushauri

4. Kazi kwisha. Vilio na majuto. Pole sana!

[mention]Liverpool VPN [/mention]
 
[emoji117]Et leo naenda kwa mwanaume usinitext??

MAMAEE KABISAA, HUONI HUYO ALITAKA KUKUUA ?? HUONI HAJALI UFANISI WA KAZI ZAKO??

MANINAA KABISAAA WEE, MALAYA MMOJA ASOJITAMBUA, UMEMUOKOTA HUMU NA KESHAZALISHWA , NDIO ANAKUENDESHA KAMA MJINGA????
Vp ss si amtaje jina tu au we waonaje
 
Unatuangusha wanaume.

Fulani alimwaga ugali yule akamwaga mboga.

Uendelee kulea mtoto kwani baba yake ni hayati?
 
UBAYA ,UULIPE KWA UBAYA MARA MBILI.

WEMA ,UULIPE KWA WEMA MARA MBILI.

VIPI WEWE JAMAA???

HAPA DUNIANI MSALITI HASAMEHEWI NA HAPEWI NAFASI YA PILI.

UMEFANIKIWA KUMUACHA, ACHAAAA ,MWAMBIE AKOME KABISA
Dah...uyu mwamba sio bure akapimwe mkojo ,kweli uagwe na mwanamke wako kuwa naenda kuto** afu leo uje apa kutuambia unatoa matumiz ya mtoto asiye wako ???
 
Mkuu nisamehe ila una tatizo.
Najua una huruma na Mtoto, lakin atakutumia kupitia huyo Mtoto anajua ndo wa kukuchapia
Mtupe
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Kaka pole eb fanya kunicheki inbox nikushauri haya mambo nayajua sana usikubali kupotea
 
Back
Top Bottom