gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Hizo akili hawana.wao wanafikiri wanawakomoa wapinzani wanasahau kua kuna kitu kinachoitwa muda.Muda unaweza kubadilisha uelekeo wa upepo muda wowote,Natamani wabunge wa ccm na wanaccm wote wajifunze kwa yaliyomkuta Chenge.
Licha ya kuwa mwana ccm safi hata kuongoza kura za maoni lakini alipigwa chini asigombee ubunge. Naye hakufurukuta kwa vile aliamini hata angeenda upande wa pili asingetoboa kwa kuwa TUME YA UCHAGUZI ni mali ya mtu.
Ninachotaka kusema ni kuwa hakuna aliyesalama kwa tume mbovu ya uchaguzi. Hivyo ni muhimu kila mtu akadai tume ya uchaguzi iwe huru.
Sent using Jamii Forums mobile app