Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

Hizo akili hawana.wao wanafikiri wanawakomoa wapinzani wanasahau kua kuna kitu kinachoitwa muda.Muda unaweza kubadilisha uelekeo wa upepo muda wowote,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipata chai asubuhi!!...ni kweli,katiba ni kitabu tu,unaweza kuibadili si msahafu,ni mawazo ya Nyerere na wenzie huko nyuma,miaka zaidi ya 55 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…