Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k
Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji nmenunua ina week tatu. Nlimnunulia Bwana mdogo aifanyie Biashara. Actually sijamwambia kama ni yake maana hachelewi kuanza ujinga. Huyu kamaliza Chuo mambo hayajakaa sawa. Nmenunua Bajaj yeye ndo ajue cha kufanya.
Basi nikaona why nisiende nayo Mwanza? Maana na yenyewe inatakiwa kupiga kazi Mwanza. So nikawaza Mimi,Wife na yeye Bwana Mdogo si tunaweza enda nayo? Au uzoefu unasemaje?