Nimeshafanya Service Bajaji yangu nataka kuondoka kwenda Mwanza na abiria wawili

Nimeshafanya Service Bajaji yangu nataka kuondoka kwenda Mwanza na abiria wawili

af chuma haiendi
Balaa tupu, kama bajaji maximum speed ni 80kph hiyo tena unaipata ukiivuta kwenye mteremko.

Sasa kama kanunua bajaji zile Piaggio kama za kubeba abiria Kariakoo-Ferry hata uivute vipi upati 60kph na inapiga kelele kama power tiller na yana Sharti la mganga la kutoendeshwa kwenye RPM kubwa ukibishana nalo unaua injini.
 
mule hamna chombo
 
Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k

Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji nmenunua ina week tatu. Nlimnunulia Bwana mdogo aifanyie Biashara. Actually sijamwambia kama ni yake maana hachelewi kuanza ujinga. Huyu kamaliza Chuo mambo hayajakaa sawa. Nmenunua Bajaj yeye ndo ajue cha kufanya.

Basi nikaona why nisiende nayo Mwanza? Maana na yenyewe inatakiwa kupiga kazi Mwanza. So nikawaza Mimi,Wife na yeye Bwana Mdogo si tunaweza enda nayo? Au uzoefu unasemaje?

Kweli wewe ni chizi maarifa[emoji23]
 
Mwanza to Dar 1127km

Kwa kuanza tu Bajaji itaweza tembea kilometa ngp kwa siku?
Niliwahi tembea na boda km400 toka SAA 6mchana mpaka saa 12 jioni km60/saa Bajaji itatembea vizuri tu Ila atalala njiani Sik 1.
Aondoke saa nane ya usiku ili saa 2 asubu awe anaitafuta Dodoma.
Morogoro apoze inji dk 15 kituo cha pili Dom hio itakuwa saa 4
Atakula na kutembea.Ataenda kulala slShinyanga kama anapenda, au ansliunga saa 10 Alf ataingia kwanza.
Hapo ni 60Km/ kwa saa kama atapngeza spidi kwanza saa4.
Kumbuka kutoka saa 8 ya usiku dar.
Binafsi safari za pikipiki huwa naondoka kati ya saa 8,9 au kumi.Pikipiki haichemki na wala hauchoki sana.
 
400km inaweza, kila baada ya 100km kituo cha dakika 15-20, mwendo 70km per hour
Mkuu hapo unaendesha kiuoga sana.Mie nilitembea mby to Njombe kituo kilikuwa makambako. Kwa bajaji mpya anaweza gonga km500 ndio apumzike, aondoke usiku mwingi( saa 8 ) ,Barbara inakuwa imetulia, hakuna magari mengi injini haichemki, atainjoi safari.Ila akiondoka asubuhi hatokuja kutamani kusafiri na bajaji au pikipiki.Mkono ndio huwa inachoka kushikilia.
 
Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k

Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji nmenunua ina week tatu. Nlimnunulia Bwana mdogo aifanyie Biashara. Actually sijamwambia kama ni yake maana hachelewi kuanza ujinga. Huyu kamaliza Chuo mambo hayajakaa sawa. Nmenunua Bajaj yeye ndo ajue cha kufanya.

Basi nikaona why nisiende nayo Mwanza? Maana na yenyewe inatakiwa kupiga kazi Mwanza. So nikawaza Mimi,Wife na yeye Bwana Mdogo si tunaweza enda nayo? Au uzoefu unasemaje?
Achaa kupigwa pesa na hizo shule za Wajanja, hao Watoto wawili January peleka shule za Magufuli ni bure,na utakuja nishukuru!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Haipendezi kuwapa watu wazima uji wa lishe, mkuu sisi tumezoea chai humu jamvini.
 
yupo jamaa anakwendaga arusha mara kwa mara na kurudi dar hakuna tatizo lolote safiri zaidi saa 10 alfajiri mpaka saa 6 mchana pumzika anza safari saa 8 tambaa mpaka saa 6 usiku lala pahala then anza tena safari lakini ni vyema kuutumia zaidi mchana sna si lazima iwe saa 6 usk waweza ishia saa 2 usiku tu
 
Back
Top Bottom