Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Kufika utafika tu ila si kwa mateso hayo unayotaka kumpa mkeo....Just imagine km zaidi ya 1000 mke kakalisha tako kwenye ile siti ya bajaji..Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k
Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji nmenunua ina week tatu. Nlimnunulia Bwana mdogo aifanyie Biashara. Actually sijamwambia kama ni yake maana hachelewi kuanza ujinga. Huyu kamaliza Chuo mambo hayajakaa sawa. Nmenunua Bajaj yeye ndo ajue cha kufanya.
Basi nikaona why nisiende nayo Mwanza? Maana na yenyewe inatakiwa kupiga kazi Mwanza. So nikawaza Mimi,Wife na yeye Bwana Mdogo si tunaweza enda nayo? Au uzoefu unasemaje?
Tuchukulie kwa mfano mimi ndiyo mkeo..
Nitapanda hiyo bajaji yako tukifika tu Mbezi mwisho hapo naomba nikakojoe, sirudi Tena hiyo ndiyo talaka yangu..
Ukifika tu Mwanza, naolewa na jamaa mwenye Murano au Tako la nyani..
Ukitoka Mwanza, unanikuta nina ujauzito wa miezi 6..
The hell with you..[emoji48][emoji83][emoji83][emoji48][emoji48][emoji83]