Nimeshafanya Service Bajaji yangu nataka kuondoka kwenda Mwanza na abiria wawili

Bajaji was not designed for such long safari !
 
Labda tufanye mahesabu ndiyo yatuamulie.Dar-Mwz karibu km 1200

Kwa sbb bajaji itatembea kwa kusimama simama ili ipoe, ikitembea km 300 itakuwa imeshakuwa usiku tayari

so mwanza utatumia siku 4.

Kila kituo wewe na ndugu zako kuna gharama za kulala na na kula,chukulia wewe kwa hadhi ya familia yako ,sababu tayari una miliki gari lenye cc kubwa , utatuia 100,000/- kula na kulala kwa wote kwa siku 1, × 4 days ,400,000

Mafuta ya bajaji utatumia 92,000/ inaweza kuzidi kulinga na weight ya abilia wako

weka 60,000/-kwa ajili ya ku-shoeshine viatu vya maafande njiani.

Service ndogo ndogo njiani 50,000/

So piga hesabu mwenyewe kama hiyo option cost efective
 
Wazo lako ni zuri la kutembea usiku lakini ni vizuri akipumzika kila baada ya 100km kwa ajili ya kutunza engine na yeye mwenyewe kupumzika
 
Amna kitu apo.
fikiria njia nyingine ya nyinyi kufika Mwanza. iyo ya kwenda na bajaji piga chini.
 
Bajaji imeandikwa kabisa "never drive at full throttle before 1000kms" wakati huo huo unataka uvute moto hadi mwisho, uko timamu kweli?
 
Tena hiyo ya kutembea usiku unataka kummaliza mwenzio. Asijaribu.

Barabara ya Dar-Moro muda wote ina magari. Hiyo saa 8 usiku sehemu hakuna gari nyingi ni hapo Kimara tu ila ukishaanza kuingia mkoa wa Pwani barabara iko busy na ma-lorry na gari binafsi kibao. Na zinakimbia hatari coz hakuna tochi.

Kumbuka Bajaji ina taa hafifu sana. Haimuliki hata mita 20, speed 60km/hr inaanza kuyumba. Pia haina balance ya kukwepa kitu ghafla.

Asijaribu usiku.
NB: najua hii ya jamaa ni chai ila nimejibu kwa faida ya wasomaji wengi wenye wazo kama hili
 
Ohhhh....
That's cool brother...[emoji847]
Wanao wanasoma international school..[emoji849]
Una gari ina cc kumbwa...[emoji28]
Mdogo wako umemuwezesha bajaji..[emoji1787]
Umechukua point tatu muhimu na mchezo umekwishaaaa...
 
Too fishy to believe!

The only soln u gonna take ni kuipakia kwa roli haitazidi hata laki na nusu, inapokelewa vzr Mwanza (ni ushauri kwa mwenye akili tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…