Nimeshangaa kusoma taarifa za ndege za Ukraine kushambulia, kumbe bado wana airforce

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukraine wamepata wapi jeuri ya kushambulia kwa ndege, wanarusha kutokea uwanjani kabisa na kushambulia supapawa, duh..... miezi miine sasa Urusi ameshindwa kufumua hako kajirani kainchi kadogo sana ukilinganisha na Urusi, amepoteza meli kubwa, majenerali, ndege zaidi ya 200, vifaru ndio usitaje jameni, askari wameuawa kama senene na mpaka sasa ameambulia tumiji twa huko mpakani......

Mnaomuabudu Putin mna kazi.

=======================

The Ukrainian Armed Forces have killed 41 Russian troops and destroyed a Grad MLRS, three Msta-Bs and one Gvozdika howitzer in southern Ukraine.

Source: Pivden (South) Operational Command.

Details: It has been reported that a pair of Ukrainian attack aircraft and a bomber pounded a concentration of Russian troops, their equipment, an ammunition depot and a battery of Grad multiple-launch rocket systems near Davydov Brod and Ternovi Pody. Our [Ukrainian - ed.] attack aircraft worked in pairs against a Russian tank platoon near Lozove, and a bomber destroyed a Russian stronghold not far from it. The results of the strikes are being further established.

An unmanned reconnaissance vehicle, a communications vehicle, two conventional vehicles and a field artillery depot near Bruskynske were also destroyed.

The Ukrainian Armed Forces hit several Russian military command posts, control stations and logistic support bases.

A pair of Russian Ka-52 attack helicopters attempted a strike near Novohryhorivka. There were no casualties. In response, our [Ukrainian - ed.] helicopters paired up to attack a concentration of weapons and equipment near Khreshchenivka and Olhyne. A mortar battery was partially destroyed.

Walioandika hii habari ni watu kama wewe wenye mahaba mazito

Kwa kweli.mimi nilitegemea Urusi ingechukua siku chache tu.lakini nimeamini sasa urusi haishindi tena .Zile siku za.mwanzo.ndio zilikuwa za kuwamaliza waukraine na kuchukua nchi sio sehemu wala
 
Siku niliona ule msafara niliingiwa na hofu ungedhani niko Ukraine, ila kwa namna ulifyekwa kha yaani tu.
 
... tangu kuumbwa dunia hii hapajawahi kutokea msafara wa kijeshi mrefu na wenye kila aina ya zana kama ule wa Russia kuelekea kuiteka Kyiv; hakuna mwanadamu, Putin inclusive, ambaye hakutiwa hofu kuu na msafara ule! Sote tuliamini Ukraine ndio imefutika rasmi kwenye ramani ya dunia.

Ila Mungu ni wa ajabu sana; kwa jinsi ile ile alivyousambaratisha msafara wa ajabu wa Goliath na wapiganaji wake just kwa jiwe la manati la kijana mdogo Daudi, ndivyo msafara wa warusi ulivyopotea kama umande wa asubuhi. Guiness wasiporekodi kituko hiki watashangaza sana.
 
We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!

No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
 
Sasa hivi soko la HIMARS limepanda kwa ambavyo zimetesa Warusi, yaani Waarabu wataziagiza sana maana hao ndio huwa wateja wazuri wa haya madude.
 
Dah Urusi bwana ,nilijua wangeshamaliza mchezo kwa lile safara ,la km 45 lililojaa vifaru,magar ya kijeshi,nagari yenye rada,magari ya kubebea rocket ,helkopters,ndege za kivita,jeshi kubwa aisee walifyekwa kama unavyofyeka majani ,naona mwisho wa Russia ,sasa hivi wanahangaika na mikoa miwili yan haina hata sense mikoa yenyewe wameshaifanya. Magofu ,Russia imepoteza dira hii Russia ya sasa hivi huwez ilinganisha na USSSR ya miaka ya 1945 mpaka 1990 ,Putin kweli kichwa ila inahitajika akili mpya ya kulivusha hili taifa lenye rasilimal nying
 
We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!

No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
Kwa hiyo Kyiv alienda kama sehemu ya "royal tour" ?
 
... tangu kuumbwa dunia hii hapajawahi kutokea msafara wa kijeshi mrefu na wenye kila aina ya zana kama ule wa Russia kuelekea kuiteka Kyiv; hakuna mwanadamu, Putin inclusive, ambaye hakutiwa hofu kuu na msafara ule! Sote tuliamini Ukraine ndio imefutika rasmi kwenye ramani ya dunia.

Ila Mungu ni wa ajabu sana; kwa jinsi ile ile alivyousambaratisha msafara wa ajabu wa Goliath na wapiganaji wake just kwa jiwe la manati la kijana mdogo Daudi, ndivyo msafara wa warusi ulivyopotea kama umande wa asubuhi. Guiness wasiporekodi kituko hiki watashangaza sana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Eti kweli hii shule iko nchini kwenu?
FB_IMG_1643976349889.jpg
 
We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!

No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
Kinacho nishangaza mimi, ni wapi Putin au jeshi la Urusi liliwahi kusema lina mpango wa kuiteka Kiev/Kyiv - wapi? Ma pro-NATO wameshikiria MANTRA hiyo kama ni gospel truth!!! Si kwamba hawajui uongo huo ni immaterial kwenye vita hii - wanajua sana, sema ni waigizaji kama Zelensky alivyo: si unajua tena "birds of a feather...."
 
Ukraine maisha yanaendelea kama kawaida, majengo wanapiga rangi watoto wameanza shule kitambo urusi amefurushwa mbali sana, yuko black sea huko anarusha vifataki vyake ameshindwa kushuka ardhini Putin ni coward sana
 
Back
Top Bottom