Nimeshangaa kusoma taarifa za ndege za Ukraine kushambulia, kumbe bado wana airforce

Russia haiwezi shinda hii vita

Kama wameshindwa haribu miundo mbinu ya viwanja vya ndege, hawataweza

Wameshindwa zuia silaha kwenda Ukraine hawatashinda

Nimeshangaa sana maana hizo ndege za Ukraine ina maana zinaruka kutoka kwenye viwanja vya kijeshi.
 
Kinacho nishangaza mimi, ni wapi Putin au jeshi la Urusi liliwahi kusema lina mpango wa kuiteka Kiev/Kyiv - wapi? Ma pro-NATO wameshikiria MANTRA hiyo kama ni gospel truth!!! Si kwamba hawajui uongo huo ni immaterial kwenye vita hii - wanajua sana, sema ni waigizaji kama Zelensky alivyo: si unajua tena "birds of a feather...."

Hehehe sizitaki mbichi, na mtakoma nyie waarabu wa Bongo, hivyo huu ulikua msafara wa royal tuwa, ulifyekwa kwa javelin za kubebea mabegani...
Na usisahau Ukraine wanaandaa one milion fighters to take back what is rightfully theirs Ukraine Is Massing 1 Million Troops To Fight the Russian Military

08610000-0a00-0242-09fe-08d9faed39ef_w1071_s_d3.jpg
 
Nikwambie kitu MK254, changia point zako kwa lugha ya staha watu watakuelewa lakini unapo anzana kutumbukiza childish comments watu wana anza kujiuliza maswali mengi - mfano: naona unapendelea sana kuwabatiza Watanzania ambao wana maoni tofauti na wewe kwamba ni Waarabu wa Bongo - una maana gani?? Kwa nini wawe wasiwe Mungiki wa Kikuyu - may I know why you're always overly obsessed na Waarabu.

Ni hivi: Sisi Watanzania hatuna issues zozote na Waarabu wala Wasomali - tunaishi nao kwa amani na kuheshimiana - we know what your trying to insinuate and for Christ's sake don't try to be bigger than your head - tell you what Amigo, we know you people like back of our hands
 
Kinachonipendeza zaidi ni kwamba Captain Ukraine bado yupo uwanjani tu, akidunda kwa confidence . Wakati mwenzake yupo sehemu salama, chini ya ulinzi mkali, ila hata kuota tu jua imekuwa ni shida. Wameshindwa kabisa kumuondoa huyu mwamba, eti na wanategemea kushinda kwenye vita hivi karibuni. Down with emperialism! 🇺🇦🇺🇦🇺🇦
FX3-3_TWYAMNBTD
 
Nikwambie kitu MK254, changia point zako kwa lugha ya staha watu watakuelewa lakini unapo anzana kutumbukiza childish comments watu wana anza kujiuliza maswali mengi - mfano: naona unapendelea sana kuwabatiza Watanzania ambao wana maoni tofauti na

hehehe wapi childish kwenye kukuambia ukweli wa mlivyo, najua mnaumia sana kwa huo msafara ulivyoliwa....wacha hasira maana hiyo milion strong army itakapomaliza shughuli sijui mtakua mumepasuka.
 
Una maana gani kusema miezi minne, tushaingia 6 sasa toka vita ianze.

Muda wowote kuanzia sasa Ukraine inaurejesha mji wake wa Kherson.
 
... tangu kuumbwa dunia hii hapajawahi kutokea msafara wa kijeshi mrefu na wenye kila aina ya zana kama ule wa Russia kuelekea kuiteka Kyiv; hakuna mwanadamu, Putin inclusive, ambaye hakutiwa hofu kuu na msafara ule! Sote tuliamini Ukraine ndio imefutika rasmi kwenye ramani ya dunia.

Ila Mungu ni wa ajabu sana; kwa jinsi ile ile alivyousambaratisha msafara wa ajabu wa Goliath na wapiganaji wake just kwa jiwe la manati la kijana mdogo Daudi, ndivyo msafara wa warusi ulivyopotea kama umande wa asubuhi. Guiness wasiporekodi kituko hiki watashangaza sana.
Na kipindi kile zilikuwa Javeline na Stingers tu, wangekuwa na HIMARS pasingetosha.
 
Kinacho nishangaza mimi, ni wapi Putin au jeshi la Urusi liliwahi kusema lina mpango wa kuiteka Kiev/Kyiv - wapi? Ma pro-NATO wameshikiria MANTRA hiyo kama ni gospel truth!!! Si kwamba hawajui uongo huo ni immaterial kwenye vita hii - wanajua sana, sema ni waigizaji kama Zelensky alivyo: si unajua tena "birds of a feather...."
Mkuu bila kukukosea heshma, saa nyingine tutumie akili za kawaida tu. Unasema hakutaka kuiteka Kyiv, sasa tuambie Urusi alivyojaribu kuizunguka Kyiv aalikuwa ana mpango gani.
 
Ukraine maisha yanaendelea kama kawaida, majengo wanapiga rangi watoto wameanza shule kitambo urusi amefurushwa mbali sana, yuko black sea huko anarusha vifataki vyake ameshindwa kushuka ardhini Putin ni coward sana
Ukraine ya wapi
 
We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!

No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
Kwahiyo ule msafara walikuwa wanaelekea unyagoni au
 
We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!

No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
Hapo umejidanganya dogo.
 
huyu wazir wenu anafuata nn Afrika mbona anasema vikwazo vimemyumbisha ?
 
Nikwambie kitu MK254, changia point zako kwa lugha ya staha watu watakuelewa lakini unapo anzana kutumbukiza childish comments watu wana anza kujiuliza maswali mengi - mfano: naona unapendelea sana kuwabatiza Watanzania ambao wana maoni tofauti na wewe kwamba ni Waarabu wa Bongo - una maana gani?? Kwa nini wawe wasiwe Mungiki wa Kikuyu - may I know why you're always overly obsessed na Waarabu.

Ni hivi: Sisi Watanzania hatuna issues zozote na Waarabu wala Wasomali - tunaishi nao kwa amani na kuheshimiana - we know what your trying to insinuate and for Christ's sake don't try to be bigger than your head - tell you what Amigo, we know you people like back of our hands
you are arab and its painful , enjoy the league
 
Back
Top Bottom