Sijui anafikiria huo msafara walikuwa wanaenda picnic.Hehehe sizitaki mbichi, na mtakoma nyie waarabu wa Bongo, hivyo huu ulikua msafara wa royal tuwa, ulifyekwa kwa javelin za kubebea mabegani...
Na usisahau Ukraine wanaandaa one milion fighters to take back what is rightfully theirs Ukraine Is Massing 1 Million Troops To Fight the Russian Military
![]()