Russia haiwezi shinda hii vita
Kama wameshindwa haribu miundo mbinu ya viwanja vya ndege, hawataweza
Wameshindwa zuia silaha kwenda Ukraine hawatashinda
Kinacho nishangaza mimi, ni wapi Putin au jeshi la Urusi liliwahi kusema lina mpango wa kuiteka Kiev/Kyiv - wapi? Ma pro-NATO wameshikiria MANTRA hiyo kama ni gospel truth!!! Si kwamba hawajui uongo huo ni immaterial kwenye vita hii - wanajua sana, sema ni waigizaji kama Zelensky alivyo: si unajua tena "birds of a feather...."
Nikwambie kitu MK254, changia point zako kwa lugha ya staha watu watakuelewa lakini unapo anzana kutumbukiza childish comments watu wana anza kujiuliza maswali mengi - mfano: naona unapendelea sana kuwabatiza Watanzania ambao wana maoni tofauti na wewe kwamba ni Waarabu wa Bongo - una maana gani?? Kwa nini wawe wasiwe Mungiki wa Kikuyu - may I know why you're always overly obsessed na Waarabu.Hehehe sizitaki mbichi, na mtakoma nyie waarabu wa Bongo, hivyo huu ulikua msafara wa royal tuwa, ulifyekwa kwa javelin za kubebea mabegani...
Na usisahau Ukraine wanaandaa one milion fighters to take back what is rightfully theirs Ukraine Is Massing 1 Million Troops To Fight the Russian Military
Nikwambie kitu MK254, changia point zako kwa lugha ya staha watu watakuelewa lakini unapo anzana kutumbukiza childish comments watu wana anza kujiuliza maswali mengi - mfano: naona unapendelea sana kuwabatiza Watanzania ambao wana maoni tofauti na
Na kipindi kile zilikuwa Javeline na Stingers tu, wangekuwa na HIMARS pasingetosha.... tangu kuumbwa dunia hii hapajawahi kutokea msafara wa kijeshi mrefu na wenye kila aina ya zana kama ule wa Russia kuelekea kuiteka Kyiv; hakuna mwanadamu, Putin inclusive, ambaye hakutiwa hofu kuu na msafara ule! Sote tuliamini Ukraine ndio imefutika rasmi kwenye ramani ya dunia.
Ila Mungu ni wa ajabu sana; kwa jinsi ile ile alivyousambaratisha msafara wa ajabu wa Goliath na wapiganaji wake just kwa jiwe la manati la kijana mdogo Daudi, ndivyo msafara wa warusi ulivyopotea kama umande wa asubuhi. Guiness wasiporekodi kituko hiki watashangaza sana.
Kherson muda wowote Ukraine wanaikomboa.Sasa hivi soko la HIMARS limepanda kwa ambavyo zimetesa Warusi, yaani Waarabu wataziagiza sana maana hao ndio huwa wateja wazuri wa haya madude.
Acha tu mkuu, ukisikia tambo za S300, S400 unaweza ukazimia. Kumbe watu wanajipigia tu.Kwa teknolojia tunayoambiwa urusi wanayo nilijua ukrain hataweza kurusha ndege kushambulia lakini imekuwa tofauti,kwa hali ilivyo hatoshinda
Mkuu bila kukukosea heshma, saa nyingine tutumie akili za kawaida tu. Unasema hakutaka kuiteka Kyiv, sasa tuambie Urusi alivyojaribu kuizunguka Kyiv aalikuwa ana mpango gani.Kinacho nishangaza mimi, ni wapi Putin au jeshi la Urusi liliwahi kusema lina mpango wa kuiteka Kiev/Kyiv - wapi? Ma pro-NATO wameshikiria MANTRA hiyo kama ni gospel truth!!! Si kwamba hawajui uongo huo ni immaterial kwenye vita hii - wanajua sana, sema ni waigizaji kama Zelensky alivyo: si unajua tena "birds of a feather...."
Ukraine ya wapiUkraine maisha yanaendelea kama kawaida, majengo wanapiga rangi watoto wameanza shule kitambo urusi amefurushwa mbali sana, yuko black sea huko anarusha vifataki vyake ameshindwa kushuka ardhini Putin ni coward sana
St Javelin na Nlaw akawakimbiza fastaHehehe sizitaki mbichi, na mtakoma nyie waarabu wa Bongo, hivyo huu ulikua msafara wa royal tuwa, ulifyekwa kwa javelin za kubebea mabegani...
Na usisahau Ukraine wanaandaa one milion fighters to take back what is rightfully theirs Ukraine Is Massing 1 Million Troops To Fight the Russian Military
Kwahiyo ule msafara walikuwa wanaelekea unyagoni auWe kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!
No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
Siku niliona ule msafara niliingiwa na hofu ungedhani niko Ukraine, ila kwa namna ulifyekwa kha yaani tu.
Achana na hizi mashine, Javeline ni habar nyingine.St Javelin na Nlaw akawakimbiza fasta
Hapo umejidanganya dogo.We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!
No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
huyu wazir wenu anafuata nn Afrika mbona anasema vikwazo vimemyumbisha ?We kilaza serikali za mataifa makubwa ulaya zinaanguka sababu ya Kibano cha kiuchumi cha hiyo vita wewe unafikiria ushindi wa mrusi ni kuingia kyiev!!!
No wonder mrusi hataki kuimaliza vita mapema ili awaoneshe nyie mnaoipigia Nato magoti muelewe ukweli hao ni wazee wa vitisho tuu.
you are arab and its painful , enjoy the leagueNikwambie kitu MK254, changia point zako kwa lugha ya staha watu watakuelewa lakini unapo anzana kutumbukiza childish comments watu wana anza kujiuliza maswali mengi - mfano: naona unapendelea sana kuwabatiza Watanzania ambao wana maoni tofauti na wewe kwamba ni Waarabu wa Bongo - una maana gani?? Kwa nini wawe wasiwe Mungiki wa Kikuyu - may I know why you're always overly obsessed na Waarabu.
Ni hivi: Sisi Watanzania hatuna issues zozote na Waarabu wala Wasomali - tunaishi nao kwa amani na kuheshimiana - we know what your trying to insinuate and for Christ's sake don't try to be bigger than your head - tell you what Amigo, we know you people like back of our hands