Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! πŸ€”

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi.

Mawazo yangu nikawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu akif kutokana na mafunzo wanayopewa ya kuua.

Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao?

Hivi ni kweli walikuwa wanalia serious au ni maigizo?

Walioua watoto wetu 29.10.2025 walaaniwe wote.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
 
Na bado! Watalia sana
 
Huyo mwenye Tshirt nyeusi na kofia πŸ€”
 
Wasiumie wao kina nani?

We hujui tu wanaishi na trauma kwa wanayofanya ukute kutwa wanajifungia ndani kwa upweke na majuto

Tanzania kazi ya police ni kama ina laana ndio maana wengi wao kama wamechanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…