Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! 🤔

Salaam Wakuu,

Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi.

Mawazo yangu nakawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu kufa.

Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao?

Hivi ni kweli walikuwa wanalia serious au ni maigizo?

Walioua watoto wetu 29.10.2025 walaaniwe wote.
View attachment 3688635
View attachment 3688408
Uchungu wa kifo uko pale pale kwa binadamu awaye yeyote.
Mungu atunusuru ili tutende mema tunapokuwa duniani.
 
Salaam Wakuu,

Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi.

Mawazo yangu nakawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu kufa.

Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao?

Hivi ni kweli walikuwa wanalia serious au ni maigizo?

Walioua watoto wetu 29.10.2025 walaaniwe wote.
View attachment 3688635
View attachment 3688408
Sio kila polisi ni mbaya
 
Ukiangalia hizo fidiu(video)kwa ukaribu na umakini,utagundua ni AI tupu!Wewe niamini tu.Sosi ni chilisosi.
 
Salaam Wakuu,

Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi.

Mawazo yangu nakawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu kufa.

Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao?

Hivi ni kweli walikuwa wanalia serious au ni maigizo?

Walioua watoto wetu 29.10.2025 walaaniwe wote.
View attachment 3688635
View attachment 3688408
Hivi ni nani huwa anatoa design ya uniform za polisi na kuwavalisha? Au ni miili yao midogo na mavitambi? Wanaonekana kama lundi la watoto yatima ambapo unadhifu ni zero... 🤔
 
Salaam Wakuu,

Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi.

Mawazo yangu nakawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu kufa.

Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao?

Hivi ni kweli walikuwa wanalia serious au ni maigizo?

Walioua watoto wetu 29.10.2025 walaaniwe wote.
View attachment 3688635
View attachment 3688408
Tena wafiwe zaidi na zaidi na tunaombea ajali ziwaandame hadi Pascal Mayalla aje awaombee msamaha
 
Back
Top Bottom