Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! 🤔

Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! 🤔

Wafe zaidi kidogo ili waone October 29 waliachia familia ngapi majeraha ya kudumu.

Wanalia wakati wana miili ya kuzika na wakati October 29 watu walizika picha, viatu na nguo kwa kukosa maiti za ndugu zao.

Familia ya akina Soka bibi yake amelia miaka 2 kuomba walau hata wamrudishe mjukuu wake amzike ile yaligoma yalimteka yakamuua na kumfukia kusikojulikana.

Hata mjomba wake Soka nae aliyekua mfuatiliaji wa suala lake wakamuongeza bibi huyu machunggu wakampiga mjomba wake Soka risasi October 30.
 
Mashetani hayo yanalia Nini? Yauwawe yote tu. Walikamata vijana fulani siku ya pili ya maandamano sijui waliwafukia wapi, mpaka Leo hawajaoneakana mtaani. Narudia Tena Polisi ni mashetani.
 
Back
Top Bottom